Mwenye habari kamili ya dogo, aliyetua kwa babu kupata kikombe na baadae "KILLER"

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Kuna habari zilizozaaga hapa Arusha ya kwamba kuna dogo mmoja aliye2a Samunge kwa Babu na kupata kikombe, lakini baada ya hapo wakati anarudi mambo yaligeuka na kuwa kama mbogo aliyejeruhiwa na kuanza kuwachochoma raia ndani ya gari kwa kisu aliyekuwa nayo.

Sasa mi cjapata kusikia vema ila Best aliyetaka kunihabarisha nikamstopisha kwani alitaka kuweka na chumvi zaidi. Je wana JF kuna mwenye habari hii anijuze kwa anavyofahamu zaidi?

Asante na samahani kwa usumbufu wowote ule NDUGU ZANGUNI. Twendeni pamoja.
 
ilikuwa juzi huyo bwana baada ya kunywa dawa wakati wanarudi wakiwa kwenye bus ndipo alipoanza kuomba chai ya rangi na ndipo watu wakawa wanamshanga huyu vp kutaka chai kwenye gari na ndipo alipo anza kuchoma watu visu vya mgongo ilikuwa soo watu kama watatu hv na wamelazwa
 
Ni babu wa miaka 70. Baada ya kunywa kikombe akawakama amepatwa kichaa. Akafungwa kamba. Baada ya kumfikisha Arusha akatembeza visu kwa raia. Katika waliojeruhiwa ni watumishi wa mabasi ya ngorika. WAPO RADIO.
 
Best mbona nasikia kama ni young sana tu! Labda huyo babu ni shehe lingine. Hebu 2pe ilikuwaje kwa babu wa 70 kuwatawanya wa2 kiasi hicho. Mmmmmmh!! Makubwa.
 
Kuna habari zilizozaaga hapa Arusha ya kwamba kuna Dogo mmoja aliye2a Samunge kwa Babu na kupata kikombe lakini baada ya hapo wakati anarudi mambo yaligeuka na kuwa kama bogo aliyejeruhiwa na kuanza kuwachochoma raia ndani ya gari kwa kisu aliyekuwa nayo. Sasa Mi cjapata kusikia vema ila Best aliyetaka kunihabarisha nikamstopisha kwani alitaka kuweka na chumvi zaidi. Je? WanaJF kuna mwenye habari hii anijuze kwa anavyofahamu zaidi? Asante na samahani kwa usumbufu wowote ule NDUGU ZANGUNI,Twendeni pamoja.

Ebwn hakuna mwenye uhakika, ila chini ya kapet zinadai kwamba dogo pamoja na group lake walikatazwa kunywa dawa na babu kutokana na 7babu ambazo babu alizifahamu mwenyewe.
Basi watu wote kwenye hilo gari wakaacha ila dogo akajifanya ye mjanja kamzunguka babu, baada ya kunywa nahisi midadi ilapanda mana cunajua tena babu yuko kiroho zaid!
Hiyo ni colition tu. Waambie kabisa kuwa babu ni thooooooo! Akithema amethema uthijiefanye unajua utakoma.
 
Ndg yng nimekupata barabara! Ila ndiyo maana nikawashirikisha ALLSTAR WA JF nikijuwa nitapata mawazo yenye ukweli,maana bila shaka hata kuna wanaJF waliokuwa karibu zaidi na waka2juza ya UKWELI,Twendeni pamoja WanaJF!
 
hicho kikombe kwani kina side effects au nini ?
Ni kweli kabisa hiyo kitu ilitokea, na ilipata COVERAGE ya kutosha TBC1, alionyeshwa huyo chalii mwenyewe, pamoja na jamaa kibao waliokatwa visu!
ONYO:
KAMA UNA MAMBO YAko NA MAHIRIZI YOYOTE USIJARIBU KUMSOGELEA BABU..UTAADHIRIKA NAVYO!

HAPO BEST NAKUUNGA MKONO KABISA YA KWAMBA KAMA UNA MAMBO YAKO USI2WE KWA HUYU BABU KBS, IT IS SOO VERY DANGERS FOR YOUR THINGS,na kama uko okey panda Samunge utamkuta BABU!
 
Vp alikutwa na hirizi. ?

Ni kweli kabisa hiyo kitu ilitokea, na ilipata COVERAGE ya kutosha TBC1, alionyeshwa huyo chalii mwenyewe, pamoja na jamaa kibao waliokatwa visu!
ONYO:
KAMA UNA MAMBO YAko NA MAHIRIZI YOYOTE USIJARIBU KUMSOGELEA BABU..UTAADHIRIKA NAVYO!

Cjajua ndg yangu! Ila nahisi kuna wanaojua zaidi na wata2juza kwa KINA.

jUST THE LAST WEEK walishikwa wanawake 5 wakiwa wameenda kumjaribu Babu kwa njia ya Ugagula, lakini wote wakafreeze MARA baada ya kujaribu kuanza shughuli yao hiyo, na wakashikwa kama kuku, na waka'confess kuwa walitumwa kumgaragaza Babu!
 
Ahahahaha.. hivi wewe na Babu mna relevance? au wewe ndio msemaje wake humu JF? punguza basi uongo wote humu ni watu wazima
 
sa kama ni ukwel asiuseme? Punguza ulimi, kiufupi hiyo ni tahadhari na kwa kuprove zaidi nenda kamjaribu wewe kwa njia zako za ajabuajabu, BABU YUKO KIROHO ZAIDI.
 
Ni kweli kabisa hiyo kitu ilitokea, na ilipata COVERAGE ya kutosha TBC1, alionyeshwa huyo chalii mwenyewe, pamoja na jamaa kibao waliokatwa visu!
ONYO:
KAMA UNA MAMBO YAko NA MAHIRIZI YOYOTE USIJARIBU KUMSOGELEA BABU..UTAADHIRIKA NAVYO!

Duh, Sasa huyo mungu wa Samunge anayeamuru watu wake wasio na hatia wacharangwe visu! Ama duniani kuna miungu.
 
Back
Top Bottom