Unahitaji kwenye simu au computer mkuu?Wakubwa naombeni mwenye game ya gari loli au basi au ya ndege
Thanks in advance
Weka na ya kwenye simuUnahitaji kwenye simu au computer mkuu?
Kuna uzi humu wa euro truck simulator 2 una link ya kudownload game lina kama 800+MB Usearch tu unaweza kukusaidiaNataka niweeke kwenye komputer bro
Mkuu andoroid ingia play store ti search Euro truck simulayor 2 unalipata kirahisi tu
Nisaidie link mkuu wanguKuna uzi humu wa euro truck simulator 2 una link ya kudownload game lina kama 800+MB Usearch tu unaweza kukusaidia
Nisaidie link mkuu wangu
Poa poa mkuuThanks bro
Msaidie mkuuShusha tu mkuu,mbona yapo kibao tuu
Hili nalikubali sanaUkitaka la simu, chukua truckers of Europe 3
Hili liko poa, kuna kupeleka mizigo barabara ya vumbi,, unapga gia hatar,,,, vumbiii ,, ikifika chuma chafuuu hatar,,Ukitaka la simu, chukua truckers of Europe 3
Mortal Kombat ipiMwenye motor Kombat for PC nahitaji