Mwenye CV ya Saed Kubenea anisaidie

Jah people wanasema alisoma darasa la kwanza NA la pili nusu hakumaliza mwaka, so elimu take ni darasa moja NA nusuuuuu...ila kwasasa ni mbunge Wa makambako NA soon atachafuliwa kua mwenyekiti Wa PAC

Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh
 
Wewe Mbunge wako atakuwa Maji Marefu, Lusinde au Lameck Airo na sio Kubenea ninachokushauri ebu tafuta kwanza CV za hao wabunge wako ukiishapata ndio uje utafute na ya Kubenea.
 
ana elimu ya darasa la saba anajua kusoma na kuandika kiswahili na ndio maana huwa anaandika kwenye magazeti.

lakini elimu siyo tatizo kwenye chama chetu kwani Mbowe,Lema,Sugu,Msigwa nao ni STD
VII.
 
Tuwekee kwa cv zako!

Hivi kweli unauzia wapi chupa zilizokwitumika? Hongera mwanaharakati wa mazingira
 
ww ni muongo sio mbunge wako sema zaidi zaidi wataka kuleta siasa za maji taka na kuchafuana .

kama ww ni mwana ubungo huwezi uliza hili ina maana kwenye mikutano ulihudhuria majibu yako yote unayo

Kwenye mikutano mtu hataji tarehe ya kuzaliwa
 
cv ya kubenea ngumu naona hakusomea hapa nchini kuanzia darasa la kwanza.
inabidi tumjadili wa nchi gani
 
Tuwe na subra maana bunge la kumi na moja itakuwa vihoja,vituko na ubazazi.na kama haukuandaliwa utaratibu wa kumjenga awe mjenga hoja makini hakika tutashuhudia mihemko yake makolokocho
 
Alikuwa rais Wa Tanzania kwa miaka 10.Alienda kutibiwa busha Marekani,aliidhinisha mtu kufanyiwa masaji kwa laki 8,kwa Siku.
Pia anaitwa Dr,japo anauprofesa Wa kichina.
Kiujumla Kubenea sio mtu wa maana sana.Ni mpuuzi tu Wa Msoogha
Umeridhika mkuu?
 
Back
Top Bottom