Mwenye akili na asome hapa na yamuingie

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,187
1,834
Ukiona Mama mwenye nyumba au yuyule Mama wa jirani na mume wako kila siku anakuambia kuhusu mume wako. Mara ana wanawake, kuwa makini atakuua na UKIMWI na mambo kibao.

Hujawahi kumfumania mume wako lakini kila siku yeye ana kitu cha kukuambia kuhusu mume wako, wakati mwingine unaishi mbali na mume wako ila yeye anakupa kila habari,leo kalala humu, leo katoka, kuna mdada anakuja kumpikia na mambo kama hayo.

Kua makini, hembu chunguza, Je, huyo Mama kaolewa? Jambo la pili, kama kaolewa vipi mabinti zake, ukikuta hajaolewa na bado anadaidai basi jua anajifanyia kampeni yeye mwenyewe.

Lakini ukikuta ana mabinti wakubwa kama wewe au ambao washafikisha umri wa kuolewa lakini wapo nyumbani hawaeleweki eleweki au wana ndaoa lakiniwa mume zao ni hivyo hivyo basi jua Mama napigia watoto wake kampeni. Sasa wewe endelea kuharibu ndoa yako ukiamini huyo Mama ni rafiki yako, hapana, anamtaka mume wako, iwe kwaajili yake au kwaajili ya wanae.

Narudia hata kama mume wako ni Malaya kweli, ila kama kashakuambia zaidi ya Mara mbili, kuhusu tabia za mume wako, basi jua wanamtaka hivyo hivyo. Nishamaliza kama hujajielewa endelea kumsikiliza huyo Mama itakutokea puani mjini shule kwa ushauri nicheki dm
JamiiForums-1147521824.jpg
 
Ukiona Mama mwenye nyumba au yuyule Mama wa jirani na mume wako kila siku anakuambia kuhusu mume wako. Mara ana wanawake, kuwa makini atakuua na UKIMWI na mambo kibao.

Hujawahi kumfumania mume wako lakini kila siku yeye ana kitu cha kukuambia kuhusu mume wako, wakati mwingine unaishi mbali na mume wako ila yeye anakupa kila habari,leo kalala humu, leo katoka, kuna mdada anakuja kumpikia na mambo kama hayo.

Kua makini, hembu chunguza, Je, huyo Mama kaolewa? Jambo la pili, kama kaolewa vipi mabinti zake, ukikuta hajaolewa na bado anadaidai basi jua anajifanyia kampeni yeye mwenyewe.

Lakini ukikuta ana mabinti wakubwa kama wewe au ambao washafikisha umri wa kuolewa lakini wapo nyumbani hawaeleweki eleweki au wana ndaoa lakiniwa mume zao ni hivyo hivyo basi jua Mama napigia watoto wake kampeni. Sasa wewe endelea kuharibu ndoa yako ukiamini huyo Mama ni rafiki yako, hapana, anamtaka mume wako, iwe kwaajili yake au kwaajili ya wanae.

Narudia hata kama mume wako ni Malaya kweli, ila kama kashakuambia zaidi ya Mara mbili, kuhusu tabia za mume wako, basi jua wanamtaka hivyo hivyo. Nishamaliza kama hujajielewa endelea kumsikiliza huyo Mama itakutokea puani mjini shule kwa ushauri nicheki dmView attachment 2767432
Huyu ni yule mwajamiiforums mwenzetu anayetetea sana kugawa bandari, kuna uzi humu umeweka picha yake muda siyo mrefu

Back
Top Bottom