Mwenendo wa Uchaguzi Mkuu 2015 - Andrew Nyerere azungumza

Kweli kabisa eti Nivue shati nisivue !!!shati oyeee!!

Kati ya watu wa hovyo kutokea au kuwahi kuishi karne ya 21 ni makongoro nyerere.

Sasa anauliza avue shati au asivue ili nani aone kitambi chake cha minyoo ya safura.

Sijui ana mtindio wa ubongo, yaani anachekacheka tu,anaongea mwenyewe anacheka kama zezeta.

Ccm imesheheni vilaza sijawahi kuona. ccm mwenye akili alikua mwl tu.
 
Ule,baada ya hii hamahama ya makada wake kura zinaweza kubadilika. Lowassa anashutumiwa kuwa ufisadi. Lakini hill kwa sasa halionekani kuwa tatizo kubwa kwa watu wengi ambao wameweka matumaini yao kwake. CCM ni chama tawala,kimekuwa ni chama tawala kwa muda mrefu. Uzoefu kutoka kwenye uchaguzi uliopita unaonyesha kwamba watu wengine wanaona ni uhaini kuwapigia kura Ukawa,au wanaona dhambikuwapigia kura Ukawa. Hili ni tatizo lingine ambalo linaikabili Ukawa. Watu wanaiunga mkono Ukawa,lakini hawajasema lolote kuhusu katiba,wanaongea tu kuhusu matatizo mengine ya kilo siku. Unaonyesha kwamba kimsingi hawana matatizo yoyote na katiba pendekezwa,ni katiba ambayo Ina nia njema,kwa hiyo jina la ukawa halina
 
Vijana wa Mbowe watakutukania mpaka baba yako.. Awataki kusikia ukweli wenyewe wanataka mabadiliko fulstop.
 
Umuhimu sana kwa wananchi ila tu kwamba wanataka mabadiliko.kwa wale wanaotaka mabadiliko. Matatizo ya vyombo vya dola,nadhani vyombo vya dola vitafurahi kuwaunga mkono Ukawa,Kama Ukawa wanataka kuleta change for the better,mabadiliko ya kweli. Lakini hakuna maana vyombo vya dola viwaunge
 
Kati ya watu wa hovyo kutokea au kuwahi kuishi karne ya 21 ni makongoro nyerere.

Sasa anauliza avue shati au asivue ili nani aone kitambi chake cha minyoo ya safura.

Sijui ana mtindio wa ubongo, yaani anachekacheka tu,anaongea mwenyewe anacheka kama zezeta.

Ccm imesheheni vilaza sijawahi kuona. ccm mwenye akili alikua mwl tu.

Na Lowassa aliyekuja kwenu, Malofa nyie !
 
Lakini Lowassa anaweza vipi kuwa rais kama CCM imefanya vizuri sana katika uchaguzi za serikali za mitaa miezi michache iliyopita? Na hapa lazima niseme kwamba sielewi ni vipi zita kuwepo uchaguzi za udiwani oktoba 25 wakati ulikuwepo uchaguzi wa serikali za mitaa miezi michache iliyopita. Lakini Kama CCM ilishinda uchaguzi

MTAZAMO,

Hebu tumia hilo jicho la ziada unifafanulie post hii. Yaani kama ni mtihani ningeshafeli Mazima!!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Umuhimu sana kwa wananchi ila tu kwamba wanataka mabadiliko.kwa wale wanaotaka mabadiliko. Matatizo ya vyombo vya dola,nadhani vyombo vya dola vitafurahi kuwaunga mkono Ukawa,Kama Ukawa wanataka kuleta change for the better,mabadiliko ya kweli. Lakini hakuna maana vyombo vya dola viwaunge

umeshakunywa soda?
 
Kada Andrew Nyerere,

Hawa UKAWA usipoteze muda kuwapa wasaa...ni watu ambao wameamua kwa dhati yao kujitoa akili.

Kwa sisi wana CCM kwa sasa tumejikita zaidi kwenye kuwaeleza wananchi ni kwanini wampe kura Magufuli.

Natarajia katika hili la kumnadi mgombea wetu utatupatia ushirikiano wako.
 
ccm wameshindwa kutuletea maendeleo,,tutawaweka pembeni october
 
Last edited by a moderator:
ccm wameshindwa kutuletea maendeleo,,tutawaweka pembeni october

Niko Moja kwa moja Uwanja wa Jangwani Tayari kuwaletea tukio zima la Kihistoria la Mh. Rais wa hawamu ya Tano Lowassa timu nzima ya Wanahabari wa Ukawa tupo hapa Tukiongozwa na Tumaini Makene, mimi mwenyewe Chademakwanza, Molemo na Standalone stay tune
 
Back
Top Bottom