Mwenendo wa Tanzania kiuchumi

Simba mzee

Member
Oct 21, 2011
23
3
Hivi Tanzania tunaelekea wapi kiuchumi coz badala ya maisha kuwa bora yana kuwa bora maisha sasa tunaelekea wapi mafuta yakula pia ya kuendeshea injini bei inazidi kupanda bei ya vyakula juu sijui tutafika kweli?
 
Usiseme sana wale wa Magamba watakwambia wanaolalamika JF wengi wao wako nje ya nchi tena si Watanzania hawajui nini kinachoendelea nchini!!! Kwa maneno mengine kwa maoni ya Magamba kila kitu nchini chini ya uongozi wa "Chaguo la Mungu" kiko shwari kabisa hakuna sababu yoyote ile ya kutia neno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom