SISIS WA FREEBASICS TUNASOMA COMMENTS TU KUJUA VIDEO INASEMAJE....NIMESOMA COMMENTS NIMEJUA KWAHERINI.
Mbona hii ni tofauti na uliyoonyesha hapo juu? Iliyokuwa inasukumwa? Kumbe na wewe nitapeli?!!
Sasa vizimia moto vya kwenye magari yetu vyanini na kwa nini kwenye vituo hakuna fire extinguisher hata 1 ya dharura, magari yana pita watu wameshindwa kutoa msaada au ni kwa sababu ya cha umma?? Watu hawajali
Hakuna fire huko Dar es Salaam... hadi gari inaungua hivyo 😎
Imetokea janaKulikoni leo majanga ya moto namna hiyo
Bro, sasa hivi kwa nini nikitaka kufungua hizi attachment kwenye thread hazifunguki badala yake inatokea JF,kama vile nafungua app, na ina stand still ?
Mkuu mbona hii ya siku nyingi Sana sio tukio la leo
Nitajie kimoja tulichoweza kukiendesha wenyewe kikaleta tija.
Aisee yaani ina maana hayo magari hayana hata fire extinguisher kweli? Mbona hata sioni mtu akihangaika nayo kuzuma huo moto? Au ndo mali ya Umma...Sifahamu kwanini Watanzania tunashindwa ku manage chochote kile hususan kikiwa cha umma.
Ile kampuni ya Oman iliyoshinda kuuendesha huu mradi wa mwendokasi itaanza lini?
Una maanisha nini ? Kwamba kuna uhusiano wowote kati ya haya na huo uchaguzi mkuu ? Kivipi yaani ?Jalamba kuelekea uchaguzi mkuu
Majority shareholders ndiyo wenye maamuzi.Nitajie kimoja tulichoweza kukiendesha wenyewe kikaleta tija
Sina uhakika na uelewa wangu shareholders ndo wanamaamuziau ni wasubiri gawio!
Shetani ni muelevu.....Shetani leo naona ana njaa sana huyu mpuuzi