MWEMA, usimlete Chagonja Arumeru

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Haya ni maoni yetu ambayo haiyumkini yana mashiko.wameru ni watata,hawamtaki mtu mtata KAMA PAUL CHAGONJA.ukitaka kuzima moto zima na maji si moto.mytake Tunakuomba umpe madaraka Basilio Matei ktk operesheni za uchaguzi meru kwa kuwa ni msikivu na hatoi justice kwa upande mmoja.MAONI YANGU TU AMBAYO YAKIDHARAULIWA YATAKUMBUKWA.
 
Matei??!! Uchaguzi wa Arusha ulimfanya awe msoma magazeti makao makuu ya polisi leo. Akiletwa Arumeru lazima atachakachua ili arejeshe imani kwa bosi wake!
 
Upande wangu sihofii mkurugenzi hata aje katili kiasi gani hato weza kuifanya fanta ikawa uji,nyeupe itakua nyeupe 2.kama nguvu yauma ata ibip ita mpigia
 
Hahahaha mujuni kwahiyo unataka kazi apewe mchaga unadhani ndio ata wa spare chadema wakifanya fujo? U r soo wrong my brother na chagonja hiyo ndio kazi yake wacha jeshi lifanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom