Mwema naye apangua mabosi Polisi

huyu wa manyara aliyeletwa arusha unamfahamu maana isije ikawa afadhari ya Andengenye.......maana hawa jamaa nao wana akili usishangae wakatuletea mwenye fujo mwingine
heri andengenye wa arusha kaenda utawala wa rasilimali DSM.kwani hapa arusha kazi yake ilikuwa ni kuwadhibiti cdm badala ya majambazi .andengenye nenda nenda katawale rasilimali kwani arusha uliishindwa nenda nenda kamanda wa ccm
 
Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Advera Senso alisema jana kuwa mabadiliko hayo ni ya kawaida katika kuimarisha utendaji ndani ya jeshi hilo, pia kutekeleza maboresho (reforms) yanayoendelea kufanywa.
[/LEFT]
Ni matumaini yetu kuwa polisi wanaelewa maana kuimarisha utendaji ndani ya jeshi hilo, maana kiukweli hakuna utendaji kabisa katika jeshi hilo. Utendaji pekee wanaoweza ni kuminya demokrasia kwa raia, hivyo basi kwa mabadiliko haya tutategemea kuwa polisi watatoa vibali kwa wapinzani kuandamana na kufanya mikutano.

Ni matumaini yetu pia kuwa neno taarifa za kiintelegesia litatumika kwa busara zaidi.

Swali la mwisho, kazi kubwa ya polisi ni usalama wa raia, je ni nani aneyepima viwango vya utendaji ( performance evaluation) vya kazi za jeshi la polisi at ward level, district level, regional level and national level??????
 
Kwanini kaliacha lile zigo wa

hapa A town OCD (Zuberi)?

Yani huyu jamaa Mi ninammandi sana.
 
Je mabadiliko hayo ya kuimarisha utendaji wa polisi yamezingatia ripoti mbali mbali zilizopita kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu na haki za kikatiba?????? Advera senso zebu tuambie kuhusu Hilo!!!!!!!!!!!
 
SACP Celina Kaliba, (RPC Singida-Msaafu mtarajiwa) Nakufagilia mama. Umemaliza utumishi wako salama, maana SGD 2015 Pata chimbika cdm wanejipanga kuchukua majimbo mengine na hasa kumng'oa Kemcho Dewji. Magamba wangekuletea kashfa kama za RPC Arusha Andengenye mpaka hakumbuki kirefu cha cdm.
" Kuna helikopta inazunguka hapa Arumeru ya Chama cha demoklasia na maamdamano" -Thobias Andengenye 2012
 
Kwanini kaliacha lile zigo wa

hapa A town OCD (Zuberi)?

Yani huyu jamaa Mi ninammandi sana.

huyo yuko kwa kazi maalumu hapo,tena utashangaa anapandshwa cheo na kuwa Rpc wa hapo arusha.chezea mwema weye!
 
Je mabadiliko hayo ya kuimarisha utendaji wa polisi yamezingatia ripoti mbali mbali zilizopita kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu na haki za kikatiba?????? Advera senso zebu tuambie kuhusu Hilo!!!!!!!!!!!

Advera Senzo ni kilzasa sana mkuu, usitegemee lolote toka kwake, wakati mwingine unajiuliza anapataje nafasi kama hii ya uemaji? women police-wp ni zaidi ya uwajuavyo by the way inawezekana imezingatia,,angalia kuondolewa kwa Kamuhanda Ruvuma na labda Thobias pale arusha
 
Back
Top Bottom