Mwe! waarabu wametuponza

Nish

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
730
114
eti jamani Hawa na Adam wasingezaliwa waarabu,wangezaliwa wachina si wangemla yule nyoka badala ya kulila lile tunda? na leo tungekuwa na maisha tofauti na haya!
 
Nish !
Hebu fafanuka vizuri, hii maneno inatakiwa carefully mtu awe, kabla ya kuvamia kuchangia.
Ainisha vizuri ukianzia na hapo , unasema Adam na Hawa walizaliwa kabila gani .
(weka zingatio kwamba hao viumbe hawakuzaliwa! Bali waliumbwa)
Hence , kama waliumbwa,
mara baada ya kuumbwa walikua ktk mtazamo wa Taifa gani .
Vinginevyo post yako itakua haina Mantikk .
 
eti jamani Hawa na Adam wasingezaliwa waarabu,wangezaliwa wachina si wangemla yule nyoka badala ya kulila lile tunda? na leo tungekuwa na maisha tofauti na haya!

Duuh na wangeumbwa waswahili je?
 
nish !
Hebu fafanuka vizuri, hii maneno inatakiwa carefully mtu awe, kabla ya kuvamia kuchangia.
Ainisha vizuri ukianzia na hapo , unasema adam na hawa walizaliwa kabila gani .
(weka zingatio kwamba hao viumbe hawakuzaliwa! Bali waliumbwa)
hence , kama waliumbwa,
mara baada ya kuumbwa walikua ktk mtazamo wa taifa gani .
Vinginevyo post yako itakua haina mantikk .

kama mtu anakurupuka hivi, bado anastahiki za kuendelea kuwa gt?
 
Kumbe Adamu na Hawa walikuwa waarabu??
Lunch njema wadau........!!!
 
Mtaly, unasoma saa ngapi?
Msalimie ticha wenu wa mechanical engineering.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom