Mwarabu toleo la tatu anaoa, nyie mnaimbishwa Iwe Mvua Iwe Jua

Mwishokambi

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
305
1,166
Utopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe wimbo wa Iwe Mvua Iwe Jua.

Mm nasena inye iche, Al Hilal anasonga mbele, hayo mnayofikiria nyie Al Hilal walishabaini kitambo, nyie subirini ligi kuu tu muzionee timu za bongo basi
 
Bila shaka ulitaka akuoe wewe,sasa mwenzio kaolewa wewe unamuonea wivu umekimbia kuja kusema hapa ili sijui tukusaidie nini,kwanini usiwaambie wazee wako wakadai mahari?,yaani ulipiwe mahari halafu aolewe mwingine?,Hakika inauma.
 
Mambo ya ajabu sana, imefikia hatua mwanaume anaona wivu mwanamke kuolewa?Nchi Ina mambo ya ajabu sana hii!!
Hawezi kuwa mwanaume huyo, huyo ni dizaini hii.
 
Attachments

  • Screenshot_20220901-132539_1.jpg
    Screenshot_20220901-132539_1.jpg
    60.1 KB · Views: 1
Mleta mada umejiaibisha mno, mwanaume kamili huwezi kuleta post ya aina hii, yaani unaona wivu mtu kuoa
 
Utopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe wimbo wa Iwe Mvua Iwe Jua.

Mm nasena inye iche, Al Hilal anasonga mbele, hayo mnayofikiria nyie Al Hilal walishabaini kitambo, nyie subirini ligi kuu tu muzionee timu za bongo basi
Pambaf zako
 
Utopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe wimbo wa Iwe Mvua Iwe Jua.

Mm nasena inye iche, Al Hilal anasonga mbele, hayo mnayofikiria nyie Al Hilal walishabaini kitambo, nyie subirini ligi kuu tu muzionee timu za bongo basi
Pambaf zako
 
Bila shaka ulitaka akuoe wewe,sasa mwenzio kaolewa wewe unamuonea wivu umekimbia kuja kusema hapa ili sijui tukusaidie nini,kwanini usiwaambie wazee wako wakadai mahari?,yaani ulipiwe mahari halafu aolewe mwingine?,Hakika inauma.
Kweli kabisa, huyo mleta uzi anaonekana anapenda Sana kupigwa dushe
 
Utopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe wimbo wa Iwe Mvua Iwe Jua.

Mm nasena inye iche, Al Hilal anasonga mbele, hayo mnayofikiria nyie Al Hilal walishabaini kitambo, nyie subirini ligi kuu tu muzionee timu za bongo basi
Acha mambo yako ya kuligeuza jukwaa letu la michezo kuwa kijiwe chako cha kupigia umbea, kuleta mipasho, na kuimba taarab.
 
Utopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe wimbo wa Iwe Mvua Iwe Jua.

Mm nasena inye iche, Al Hilal anasonga mbele, hayo mnayofikiria nyie Al Hilal walishabaini kitambo, nyie subirini ligi kuu tu muzionee timu za bongo basi
Kwa hiyo hapa tukusaidieje labda? Tumwambie Manara aachane na mkewe ili .....?
 
Utopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe wimbo wa Iwe Mvua Iwe Jua.

Mm nasena inye iche, Al Hilal anasonga mbele, hayo mnayofikiria nyie Al Hilal walishabaini kitambo, nyie subirini ligi kuu tu muzionee timu za bongo basi
Mwambie akuoe na wewe kuna nafasi bado ipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom