😂😂😂 dahUnakatwa
Wewe ungefanyaje hata Kama Ni Wewe😂😂😂 dah
😆 😂 😆 😂! Anza na kununua taili za spare, na kitambaa cha kufutia vumbiTayari nimemaliza kuandaa Playlist ya nyimbo ntakazokuwa nasikiliza kwenye gari langu.
Sasa nahitaji kununua gari lenyewe.
Tayari nimemaliza kuandaa Playlist ya nyimbo ntakazokuwa nasikiliza kwenye gari langu.
Sasa nahitaji kununua gari lenyewe.
Bange za mchanaTayari nimemaliza kuandaa Playlist ya nyimbo ntakazokuwa nasikiliza kwenye gari langu.
Sasa nahitaji kununua gari lenyewe.
hivi naweza kujipulizia ikeda au ni kwaajili ya magari tu? Uh! KwananaNunua kabisa na manukato ya ikeda mkuu kwaajili ya gari yako. Fundi gereji unae?