Mwanza: Vurugu kubwa kati ya Polisi na wenye 'boda boda' zaendelea!

Du nchi hii nimebaini kuna shida pande zote,si kwa wananchi wla polisi pia,elimu y uraia mhimu hata akiingia nani kama hii hali ya maamuzi kuwa mikononi mwa kila mtu hakuna usalama na nchi haiwezi kutawalika.
 
awali yayote yaupasa kukemea hali hii maana waathirika wa hili familia zao zinabaki ktk umasikini na mahangaiko makubwa. Polisi wanataka tuwatenge wao pamoja na familia zao mashuleni wajengewe hukohuko madukani hatutawauzia na hatutawakopesha
 
Nimeelewa sababu ya kampeni ya " utii wa sheria bila shurti".
Kumbe ni ili wakitushuritisha waseme kitu chenye ncha kali.
 
Habari za jumanne wanajamii nilikuwa natoka mjini naelekea kona ya bwiru Hapa jijini Mwanza, kuna vurugu kali kati ya polisi na madereva wa boda boda zinaendelea. polisi wanarusha mabomu ya machozi na risasi, chanzo cha vurugu ni polisi kukamata piki piki za madereva hawa wa boda boda, hivi hizi vurugu Mwanza mpaka lini?.
 
Atakuwa Wilson Kabwe kawatuma Polisi kuvuruga waendesha bodaboda ili watu wasahau ile ishu ya kuitapeli NSSF bilioni 1.6 waanze kuwazia ishu ya bodaboda halafu upepo upite...
 
Tumeshazoea mabomu za hawa polisimagamba kwanza mimi siku hizi bila kusikia mlio wa bomu usingizi hauji kabisa
 
Kabwe kawa Mungu mtu mwanza ulinzi wa mali za akina Ridhiwani na Baba yake Kikwete kunasiku utamfanya aache watoto wake nyuma manake watu wamechoka na tabia yake ya kuchonga migogoro
 
Polisi nao sometimes akili zao ni kama mbwa akiambiwa shika yeye ni kazi tu bila ya ku-reason.
 
... unajua serikali isipokuwa na mipangilio ya mambo yake hasa yahusuyo jamii hili ndio tatizo lake... baada ya vijana wengi kukosa ajira na viwanda kuuzwa na kubinafsishwa bila ya kuwa na viwanda mbadala... vijana wamedanganywa na boda boda kuwa ndio kimbilio lao...lakini huko kwenye boda boda kuna mengi ambayo vijana yanawasibu ikiwemo ulemavu wa maisha na vifo.... hata hivyo serikali haijaandaa mpangilo rasmi kuhusiana na boda boda...
 
Back
Top Bottom