Mwanza na Kagera waanza kuchukua hatua za kukabiliana na Ugonjwa wa Ebola

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Mkuu wa mkoa wa Mwanza mh Malima amesema mkoa wake umeanza kuchukua hatua kukabiliana na Ugonjwa wa Ebola endapo utabainika kuwepo

Naye mganga mkuu wa mkoa wa Kagera amesema wamejipanga kikamilifu kuikabili Ugonjwa wa Ebola kwani tayari u.eripotiwa kuwepo nchi wanayopakana nayo ya Uganda

Source ITV habari
 
Hatari sn !!
 
ugonjwa ushaingia... siasa zinatamalaki.
Tumeshatoka kwenye zama za kichawi, sasa ninaimani sayansi itapewa kipaumbele.

Mtukula,Mwanza na maeneo ya karibu majirani wapimwe kabla ya kuingia.

No more kujifukiza!
 
Back
Top Bottom