Nyumbani kwako, mitaani na uwanjani...unasemaje ?wamekeshea wap??
Ni una mental bankrupt sio bure. Yaan kama una akili timamu hauwezi jikosesha thamani kiasi hiki. Pamoja na kuwahurumia watu wenye akili kama zako, huwa naumia moyoni kusikia jitu linajiturumua eti bora nitawaliwe na mzungu kuliko kutawaliwa na mwsfrica menzangu. Kifupi umebakiza kujipaka kinyesi ili kuwa chizi kamili.Huo n udhalilishaj kwa marehemu wala sio upendo.
Waafrika tunafanyaga yale yale kila siku.
Pesa ya kuuguza kidogo,pesa ya kuandaa mazishi kubwa.
Trump alkuwa sahihi,hizi nchi zetu znatakiwa kutawaliwa tena.
Kwa jinsi dunia inavyoenda speed,hatukupaswa kutumia muda wote huo kwenye mwili wa baridi.
Ndege iliyobeba Mwili wa Dk Magufuli tayari imeondoka Zanzibar kwenda Mwanza
Sijapata kuona heka heka za kiwango hiki katika jiji la Mwanza ambapo watu wamekesha kumsubiri mpendwa wao hayati Magufuli waweze kutoa heshima za mwisho.
Kwa kweli hayati Magufuli anakubalika kanda ya ziwa maana nimeshuhudia wageni kutoka pembe zote za kanda hii wakiwa tayari kumpokea, kumuaga na hatimaye kumsindikiza hadi Chato kipenzi chao.
Vituo vya mafuta viko busy kuuza maana kila mmoja ameshakaa mkao wa mapokezi, kuaga kisha msafara kuelekea Chato baada ya zoezi la kumuaga hayati Magufuli kukamilika katika uwanja wa CCM Kirumba.
Updates;
Asante kwa taarifa.Sijapata kuona heka heka za kiwango hiki katika jiji la Mwanza ambapo watu wamekesha kumsubiri mpendwa wao hayati Magufuli waweze kutoa heshima za mwisho.
Kwa kweli hayati Magufuli anakubalika kanda ya ziwa maana nimeshuhudia wageni kutoka pembe zote za kanda hii wakiwa tayari kumpokea, kumuaga na hatimaye kumsindikiza hadi Chato kipenzi chao.
Vituo vya mafuta viko busy kuuza maana kila mmoja ameshakaa mkao wa mapokezi, kuaga kisha msafara kuelekea Chato baada ya zoezi la kumuaga hayati Magufuli kukamilika katika uwanja wa CCM Kirumba.
Updates;
Ni shujaa gani muuaji,katili na muonevu?Ni una mental bankrupt sio bure. Yaan kama una akili timamu hauwezi jikosesha thamani kiasi hiki. Pamoja na kuwahurumia watu wenye akili kama zako, huwa naumia moyoni kusikia jitu linajiturumua eti bora nitawaliwe na mzungu kuliko kutawaliwa na mwsfrica menzangu. Kifupi umebakiza kujipaka kinyesi ili kuwa chizi kamili.
dunia nzima inaomboleza kifo cha shujaa wetu, wewe ni nani bado unamponda mawe tuuuuuu. Si ni shetani tu wewe.
Hivi wale waliokufa uwanja wa Uhuru wamejumuishwa kwenye idadi ya Viewers wa PM?Tunaomba picha ili tujumlishe idadi ya viewers.
Hawakuwa na kazi waliokeshaSijapata kuona heka heka za kiwango hiki katika jiji la Mwanza ambapo watu wamekesha kumsubiri mpendwa wao hayati Magufuli waweze kutoa heshima za mwisho.
Kwa kweli hayati Magufuli anakubalika kanda ya ziwa maana nimeshuhudia wageni kutoka pembe zote za kanda hii wakiwa tayari kumpokea, kumuaga na hatimaye kumsindikiza hadi Chato kipenzi chao.
Vituo vya mafuta viko busy kuuza maana kila mmoja ameshakaa mkao wa mapokezi, kuaga kisha msafara kuelekea Chato baada ya zoezi la kumuaga hayati Magufuli kukamilika katika uwanja wa CCM Kirumba.
Updates;
Uwanja wa CCM Kirumba umefurika, watu ni wengi kweli kweli na wote wakiwa na sura za huzuni na simanzi.
Kule kwenye mzunguko ambako wamekaa wananchi wa kawaida kulijaa tangu alfajili kabisa kadhalika jukwaa la viongozi limeshasheheni wahusika.
Tangu jana bwashee tukiwa na msafara wa coaster 26!Bwashee lini umefika Mwanza toka Rombo?
Hsya.Sio kweli. Mimi niko mwanza
Kunywa sumu bwashee!Leo siku ya ngapi kwani... Nahisi kukinai sasa ..iishe sasa
Una picha hapo?
Wewe una kazi?!Hawakuwa na kazi waliokesha
johnthebaptist hayupo Mwanza, picha atapata wapi?Una picha hapo?