Mwanza city pictures

Thanks mzee, umenikumbusha ofisi yangu ya kwanza kabisa kuajiriwa baada ya kumaliza F4. Lool, worked there for almost six months. Love Mwanza, xoxoxo!!
 
Wa Ukenyenge umekula chumvi nyingi eeee,ikiwa ni wa enzi zile mtu unamaliza F4 na unapata kazi, F4 ilikuwa elimu kubwa sana those days
 
IMG-20120102-00078.jpg Mwanza Mwanza.....from Gold Crest Hotel Room

Image0216.jpg
Mwanza Mwanza....City Centre...

Image0222.jpg
 
Narubongo kumbe wewe ni Mwangaluka au Mwadile? hahahahahh nimekukamata Mwanza kuna maendeleo gani zaidi ya uchawi?
MziziMkavu uchawi wa usukumani ni kwaajili ya kuleta maendeleo ndio maana watu wanalimishwa mashambani usiku ili kutekeleza sera ya kilimo kwanza. Wachawi wa mlingotini, magomeni,majani mapana, mbegani, kaole, kiromo, kizuiani kazi yao ni kuwapanda watalii vichwani usiku kucha na ndio maana mchana wote huwa wamechoka
 
Last edited by a moderator:
Mwanza naipenda sana aise
Na ni mji unaokua kwa kasi sana
asante sana mkuu kwa picha za mwanza
 
MziziMkavu uchawi wa usukumani ni kwaajili ya kuleta maendeleo ndio maana watu wanalimishwa mashambani usiku ili kutekeleza sera ya kilimo kwanza. Wachawi wa mlingotini, magomeni,majani mapana, mbegani, kaole, kiromo, kizuiani kazi yao ni kuwapanda watalii vichwani usiku kucha na ndio maana mchana wote huwa wamechoka
@Narubongo umefika huko Bagamoyo mkuu? inaonyesha unakujuwa sana kuliko hata mimi mwenye asili yaa huko ehhh kasheshe kweli. Nakumbuka Mwalimu mmoja wa kichaga alimpiga mtoto mmoja wa

Mwinyi huko bagamoyo mjini mnamo miaka ya 1980 basi yule mtoto alikwenda kwao nyumbani huku analia, baba yake alimuuliza mwanangu unalia nini? mtoto akajibu Mwalimu wa shule kanipiga basi yule mzee akasema hiyo ndio mwanzo na mwisho hatafundisha tena hapa bagamoyo anapiga watoto wa ma mwinyi. Basi siku ya pili mwalimu yule wa kichaga

alivyokwenda shule kufundisha aliposimama kufundisha alipokuwa amemaliza kufundisha alikuwa anataka kukaa kwenye kiti alikaa kwenye kiti chake na alipokuwa anataka kunyanyuka hakuweza kutoka katika kiti chake alipiga mayowe

kuwaomba walimu wenzake waje kumnasuwa kwenye kiti basi walimu wenzake walipokuja kumnasuwa hawakuweza kumnasuwa ndipo walimu wenzake walipo fanya ushauri wa kumpeleka hospitali. Alipofikishwa hospitali

Walimu wenzake walielezea mkasa wote ulimkuta huyo Mwalimu ndipo Madokta walipo muuliza je aliwahi kufanya kitu gani ? Ndipo yeye mwenyewe Mwalimu alieleza aliyoyafanya huko Bagamoyo ndipo Ma Daktari wakasema aende kwa yule mzazi aliyempiga yule mwanafunzi kuomba msamaha haya ni mambo ya kiswahili ndipo alipokwenda kuomba msamaha

na ndipo kiti kilipo mtoka nakuanzia hapo yule Mwalimu wa kichaga aliomba uhamisho Wizara ya Elimu hakutaka tena kufundisha shule za msingi Bagamoyo huko ndio kwetu Bagamoyo karibu mkuu unakaribishwa.
 
Mi siji huko ng'oooo
 
@Narubongo umefika huko Bagamoyo mkuu? inaonyesha unakujuwa sana kuliko hata mimi mwenye asili yaa huko ehhh kasheshe kweli. Nakumbuka Mwalimu mmoja wa kichaga alimpiga mtoto mmoja

Matukio ya namna hiyo yapo sana b'yo iwapo utaleta dharau, nadhani hiyo shule ilikuwa ni S/M mwanamakuka pale karibu na sanaa, au kama sio hapo basi itakuwa S/M kizuiani ipo pale mlingotini kwa mbele maeneo ya karibu na kanisa katoliki. Ile mitaa ya kizuiani ni janga (nilikuwa namkuta sana mkuu siku za weekend, ndugu zake wengi wanaishi kizuiani). B'yo kwenye yale magofu ya majani mapana na msalaba kuna warabu wengi sana halafu nao wamekuwa ni wachawi wa kutupwa wanashindana na wakwere kwa vibwanga
 
Back
Top Bottom