Mwandishi wa Dira apigwa na wanaodaiwa kuwa ni Green Guard ya CCM

Bila shaka una makalio madogo yenye tundu kubwa sana. Mwandishi wa habari amepigwa akiwa kazini bila sababu na wewe unashabikia. Au ulitaka awe anaandika habari mbaya za chadema? Kama siyo kazi za waandishi wa habari hata wewe usingeijua hata hiyo ccm unayoishabikia. Watu kama nyie hakuna sababu ya kuwepo duniani.
kakaa! hilo umbile kwenye red, ningetamani sana kuliona,umenchekesha sana, sijui ulikuwa unafikiria nini!?
 
Kama kweli kapigwa usishangae kesho ccm na interijensia wakasema cdm ndio waliompiga huyo mwandishi na wapo kituoni wanahojiwa kwa uchunguzi zaidi
 
Wadau mimi nipo Igunga na usiku wa tukio nilikuwepo na nilishuhudia kwa macho yangu wala siyo kwa kusimuliwa kama mtoa mada alivyoiweka. CCM haikuenda hotelini kwa chadema bali kina mwita waitara walilivamia gari la Ester akiwa anatokea Silent Inn anakunja Mwanzugi Road barabara ambayo mbele kuna Missana Hotel ambayo wamefikia CDM na mbele yake kuna Peak hotel ambayo wamefikia CCM. Kifupi hotel ya CCM na ya CDM zipo karibu sana katikati ya hizo hotel mbili kuna hotel nyingine inaitwa Kilimanjaro ambayo wamefikia pia CCM parking ya CDM na CCM kwa upande wa Kilimanjaro hotel wanashare. So suala la Mwita kupiga risasi amelifanya mbele ya hotel ya Kilimanjaro sasa hiyo propaganda mnayoileta humu ndiyo inayochangia kuleta chuki na uhasama hasa kwa sisi ambao tupo huku kwenye field. Kupigwa kwa mwandishi kunatokana na kauli ya matusi aliyoitoa kuwatukana Green Guard. So msichukulie juu juu hili suala. Muulizeni mtoa mada aseme kwa nini vijana walimpa dozi mwandishi?
mkuu nami nipo igunga pia hata wewe umemepotosha tena kwa kuipindua habari. Nionavo mimi ni kuwa kuna uwezekano mkubwa badhi ya wahariri wa magazeti kuwa wamenunuliwa kwa jinsi wanavopindua taarifa kama wewe hapo juu, maana hata maripota wao wakati mwingine wanashangaa gazet kuchapwa kinyume na walivo ripoti, kwa vinywa vyao wanakiri tukiwa nao vijiweni
 
wadau mimi hii habari naitilia shaka. yaani hata mwanamke (Ester) naye alienda kuvamia? Au ndo kampeni zenyewe?
Please welcome someone with facts. I mean non bias one.

Mkuu kwani mwanamke hawezi kuvamia? au unawaonaje/unawachukuliaje wanawake
 
Back
Top Bottom