Mwandishi gazeti la Uhuru acha kumtukana Mh. Lowassa

isidingo 1961

Senior Member
Nov 9, 2015
106
13
Nimesikitishwa sana Na habari katika gazeti la CCM UHURU la tarehe 6/11/2015 lenye kichwa cha habari"Lowassa anasubiri nini mjini aende Monduli kuchunga ng"ombe" Mtoa hoja hiyo in Bw.Christopher Lissa.

Swali: Kwani Mh.Lowassa anatukanwa na vyombo vya habari wakati mamlaka zinazisimamia zipo ila zimekaa kimya? Mh.Lowassa kosa lake ni kuhama CCM?

Kwani kuwa CCM in lazima?mwandishi huyo anataka kupandikiza chuki kwa watanzania kwani Mh.Lowassa na watanzania wanaoumia kwa hayo matusi.Bw.Christopher Lissa kumbuka kuwa Mh.Lowassa in miongoni Wa viongozi wakubwa Wa nchi .

Tunawaomba wanasheria wa Mh.Lowassa na wa Chama chake kulichukulia hatua za kisheria gazeti na vyombo vya habari na televisheni vitakavyojihusisha na kutukanwa kwa Mh.Lowassa kwani tabia hiyi imezidi .
 
Jamani rais ameshapatikana matusi ya nn tupendane watanzania tuache kuchochea hayo yalishapita sasa ni muda wa kujenga nchi na ww mwandishi acha hizo habari bana cc wote ni wa tz
 
mbona sijaona tusi apo... si kashauriwa akachunge ng'ombe na si ndo alisema mwenyewe akikosa uraisi ndicho atakacho enda kufanya
 
af huyo muheshmiwa wako Lowassa ni kiongozi mkubwa wa idara gan hapa nchini!!? maana cjaona jina lake kwenye list ya viongozi wa nchi!!!... au ndo waziri mkuu ajae?-???-???-???-???‰?-???‰.... poor you
 
Tumempa ushauri kama unataka kujua kilicho chini ya huo ushauri soma hilo gazeti subiri utaisikia kesi kisutu ndio utajua kama no ushauri
 
Mwambie na Kubenea yule wa Gazet la MwanaHaramu aache kumkebehi JK
 
Nimesikitishwa sana Na habari katika gazeti la CCM UHURU la tarehe 6/11/2015 lenye kichwa cha habari"Lowassa anasubiri nini mjini aende Monduli kuchunga ng"ombe" Mtoa hoja hiyo in Bw.Christopher Lissa.Swali: kwani Mh.Lowassa anatukanwa Na vyombo vya habari wakati mamlaka zinazisimamia zipo ila zimekaa kimya? Mh.Lowassa kosa lake ni kuhama ccm? Kwani kuwa CCM in lazima?mwandishi huyo anataka kupandikiza chuki kwa watanzania kwani Mh.Lowassa Na watanzania wanaoumia kwa hayo matusi.Bw.Christopher Lissa kumbuka kuwa Mh.Lowassa in miongoni Wa viongozi wakubwa Wa nchi .Tunawaomba Wanasheria Wa Mh.Lowassa Na Wa Chama chake kulichukulia hatua za kisheria Gazeti Na vyombo vya habari Na televisheni vitakavyojihusisha Na kutukanwa kwa Mh.Lowassa kwani tabia hiyi imezidi .
Ndiyo aondoke mjini! Malofa nyie hehehe
 
Matty kumbe una Kiwango kidogo cha kujua mambo haya bwana nadhani wewe ndio walewale watukanaji
 
Nimesikitishwa sana Na habari katika gazeti la CCM UHURU la tarehe 6/11/2015 lenye kichwa cha habari"Lowassa anasubiri nini mjini aende Monduli kuchunga ng"ombe" Mtoa hoja hiyo in Bw.Christopher Lissa.

Swali: Kwani Mh.Lowassa anatukanwa na vyombo vya habari wakati mamlaka zinazisimamia zipo ila zimekaa kimya? Mh.Lowassa kosa lake ni kuhama CCM?

Kwani kuwa CCM in lazima?mwandishi huyo anataka kupandikiza chuki kwa watanzania kwani Mh.Lowassa na watanzania wanaoumia kwa hayo matusi.Bw.Christopher Lissa kumbuka kuwa Mh.Lowassa in miongoni Wa viongozi wakubwa Wa nchi .

Tunawaomba wanasheria wa Mh.Lowassa na wa Chama chake kulichukulia hatua za kisheria gazeti na vyombo vya habari na televisheni vitakavyojihusisha na kutukanwa kwa Mh.Lowassa kwani tabia hiyi imezidi .
Hivi nyie watu ni kweli hamna akili au zimeenda na mafuriko? Tusi hapo liko wapi ktk title uliyoandika? Na lowassa si alisema akishindwa uchaguzi atarudi kichunga ng'ombe? Ilikuwa bbc hata mimi niliona, aliulizwa swali ma Zuhra Yunus!
 
Ukweli mtupu alishasema akishindwa atarudi chunga ng'ombe hivyo amakubushwa alivosema tusic linatoka wapi
 
kumbe kukumbushwa ukachunge ng'ombe ni matusi basi wafugaji wote wanafanya matusi eeehhh, ahadi za rais akikumbushwa ni sawa ila ..... povu ukiwa mwanasiasa hayo ni ya kawaida sana
 
Nimesikitishwa sana Na habari katika gazeti la CCM UHURU la tarehe 6/11/2015 lenye kichwa cha habari"Lowassa anasubiri nini mjini aende Monduli kuchunga ng"ombe" Mtoa hoja hiyo in Bw.Christopher Lissa.

Swali: Kwani Mh.Lowassa anatukanwa na vyombo vya habari wakati mamlaka zinazisimamia zipo ila zimekaa kimya? Mh.Lowassa kosa lake ni kuhama CCM?

Kwani kuwa CCM in lazima?mwandishi huyo anataka kupandikiza chuki kwa watanzania kwani Mh.Lowassa na watanzania wanaoumia kwa hayo matusi.Bw.Christopher Lissa kumbuka kuwa Mh.Lowassa in miongoni Wa viongozi wakubwa Wa nchi .

Tunawaomba wanasheria wa Mh.Lowassa na wa Chama chake kulichukulia hatua za kisheria gazeti na vyombo vya habari na televisheni vitakavyojihusisha na kutukanwa kwa Mh.Lowassa kwani tabia hiyi imezidi .

Kuchunga ng'ombe ni tusi?? Inawezekana mie sifahamu lugha ya kiswahili.
 
Mbona yule aliyesema anaenda kulima tunamuona mjini na hamumtaki kwenda kulima kama aliyohaidi....hayo magazeti ya nyinyiem tanaandikwa na makanjanja hawajui kitu weledi kwy uandishi!
 
Back
Top Bottom