Mwanaume wa Dar au wa Mikoani?

St Lunatics

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,645
11,153
Huu uzi kwa wadada wa jf tunataka kuvunja mabishano ya nani zaidi kati ya Wanaume wa Dar na Mikoani. Wadada ukiambiwa uchague kati ya mwnaume wa Dar na Mikoani yupi utachagua kwanza?
Pia Wanaume wa Dar na Mikoani ukiambiwa uchague kati ya mdada wa Dar na Mikoani yupi utachagua kwanza?
(1) Sifa za wanaume wa Dar = Wala chipsi mayai,Six pack,Usharobaro(utozi) na big dushe.;)
(2) Sifa za wanaume wa Mikoani = Wala Ugali,Maharage,Nguna na samaki wa sangara usisahau vibamia.:(
(3) Wanawake wa Dar = Salon juu chini,Wananukia fresh mchana kutwa,Mizinga kama wapo jeshini na wakipiga show lazima upagawe mpaka dushe linamezwa.:eek:;)
(4) Wanawake wa mikoani = Wapiga jembe hataree,Salon nyumbani,Nguo mpya mwaka mara moja,Ukimwambia ale dushe atakuona una mapepo na kukojozwa kwao ndoto labda waliowahi kuja dar wanajua nini naongea.:oops:
Jee wewe kaka na dada kura yako inakwenda Dar au Mikoani?
 
Baadhi ya trait ulizotaja hapo kama size za madushe ni za kigenetic na ni unevenly distributed.Kuhusu wanawake, siyo Dar wala mikowani, kila sehemu kuna clasic na wabovu. Anyway mimi najiuliza ulijuawaje size za madushe ya wanaume wenzako??? possibly walikugongea demu wako au walikupiga 0713.
 
Sasa mikoani ni wap kwanza Maana kuna majiji manne na manispaa kibao ambapo watu hawalimi
 
Huu uzi kwa wadada wa jf tunataka kuvunja mabishano ya nani zaidi kati ya Wanaume wa Dar na Mikoani. Wadada ukiambiwa uchague kati ya mwnaume wa Dar na Mikoani yupi utachagua kwanza?
Pia Wanaume wa Dar na Mikoani ukiambiwa uchague kati ya mdada wa Dar na Mikoani yupi utachagua kwanza?
(1) Sifa za wanaume wa Dar = Wala chipsi mayai,Six pack,Usharobaro(utozi) na big dushe.;)
(2) Sifa za wanaume wa Mikoani = Wala Ugali,Maharage,Nguna na samaki wa sangara usisahau vibamia.:(
(3) Wanawake wa Dar = Salon juu chini,Wananukia fresh mchana kutwa,Mizinga kama wapo jeshini na wakipiga show lazima upagawe mpaka dushe linamezwa.:eek:;)
(4) Wanawake wa mikoani = Wapiga jembe hataree,Salon nyumbani,Nguo mpya mwaka mara moja,Ukimwambia ale dushe atakuona una mapepo na kukojozwa kwao ndoto labda waliowahi kuja dar wanajua nini naongea.:oops:
Jee wewe kaka na dada kura yako inakwenda Dar au Mikoani?
We umelinganisha wa mjini na kijijini na sio Dar na mikoani.
 
Back
Top Bottom