Mwanaume, vitu ambavyo kamwe utakiwi kuvifanya.

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
1.Usije jaribu, kumpiga mwanamke au kumtukana. itakushushia heshima sana na aiwezi kukufanya wewe uwe jasiri. Ki ukweli itakufanya uonekane jinsi gani ulivyo dhaifu.

2. Si vyema kumwangalia mwanamke mwingine mbele ya uwepo wa mke wako/mpenzi wako. Weka macho yako kwa mke wako/mpenzi wako. Yupo nawe kwa sababu maalumu.

3.Usipende kujisifu kwa vitu ambavyo auna. Unajidharaulisha mwenyewe

4.Usivae kata kei, watu awapendi kuona boxer yako, zaidi dirty ones, ki ukweli aikufanyi wewe kuonekana responsible

5. Usivae jeans inayokubana ambayo ina shape your package

6.Usionyeshe uwoga au kupanic mbele ya watoto wako au wadogo zako, pamoja nakuwa labda kuna sababu hiyo. Wewe ni mwanaume kwa sababu maalumu! Wanaume wengine awawezi kuua panya…Looh!!!

7. Usivae miwani ya giza usiku, in the mall or on your forehead.

8. Usiseme utapiga simu wakati unajua fika autafanya hivyo, its so annoying

9. Usivae cheni ya dhahabu na suti au unaenda kwa daktari kumwambia akuekee meno ya dhahabu mdomoni mwako.

10. Usikae kwenye siti kwamwe wakati mwanamke mjamzito kasimama ndani ya bus.

11. Usimfananishe mpenzi uliye naye na mpenzi wako wa zamani, she has expired, face the one you're now blessed or cursed with.

12. Usitumie mda mwingi kujiangalia kwenye kioo, kioo kipo pale zaidi kwa ajili ya mwanamke.

13.Usijikune, kujisawazisha nguo zako katika sehemu za public, Utafanya hivyo sehemu ambayo ipo more private.

14. Mama yako ulimwacha kwenu. Acha kumuongelea kuhusu yeye, unamfananisha na kila msichana na yeye. Acha pia kumtegemea mama yako afanye kila kitu kwako, afterall ujamuoa mama yako

15. usifuge kucha zako, kucha yako

16.Usije goma kula chakula alicho pika mke wako kisa maelewano siyo mazuri na mke wako, imemchukua muda na nguvu kutayarisha hicho chakula

Asante
wana MMU.
 
Mzee umemwaga ma-point sana mkuu hongera sana.....ila hiyo ya kumuongelea maza nafanya sana....nastukia inanifanya nionekane ntoto wa mama sa nyingine
 
kwamtoro haya bana asante kwa ushauri mzuri
Ila hapo kwa kurekebisha nguo kama mzee huku chini amesimama vibaya na nikimuacha ni aibu zaidi sibora nimrekebishe aise

Majanga kama haya uwa yanatokea sana hasa kwenye usafiri wa public. Unaweza ukawa umesimama alafu mbele yako kukawa na mzigo mwanana umesusiwa kwa makusudi mjomba lazima awike. mimi huwa hapo hapo navuta hisia kwa wanao nidai, bosi wangu mkorofi ofisini. Looh! japo nitoe mawazo yangu hapo kwa lazima ili mambo yajiset yenyewe
 
Umenimaliza hasira zangu kuna mtu nilitaka nimpe matusi hapa thax kwa hilo.ila hilo kioo inategemeana

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
kwnye No 4 nadhani ungeongezea kuwa kwa mwanaume mwenye nguvu hawezi kuruhusu suruali yake ikae chini ya makalio hilo, suruali chini ya makalio linawezekana kwa wale tu wasiokuwa na nguvu za kupandisha suruali zao.
 
Natafuta Mchumba wa kike. Nimvulana wa miaka 26, Nakubaliana na hayoyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom