Mwanaume unakaribia miaka 40/50 na haujawahi kutoka hata nchi jirani, Ushamba huo

nilinunua plasma TV yenye inchi 72 Android TV pale lusaka kwa bei nusu ya hapa ambayo ningenunua bongo.

Pia nilinunua home theatre ya nguvu pale gaborone ambayo hapa bongo huwezi ukaigusa kbisa

Nimekuwa na marafiki kwenye hizo nchi na muda wowte nkitaka kitu natumiwa chapu.

Nimewatom.b.a mademu wa sauzi, zambia, congo, na bostwana nina mboro ya KIMATAIFAA

Niko na malizia michongo ila ikikaa sawa, nahamia mazima huko.

Endelea kukaa hapo nanjilinji kitohori uone kama tutakuwa sawa
Unaona sasa!Hoja nyingine,wewe unaanzisha mambo mengine kabisa.Huwa unavuta bangi au ugoro?
 
Jambo Jambo?

Huwa nashangaa baadhi ya watanzania ambao wamejiweka mitazamo ya kuzaliwa, kuishi, kuoa mpaka Kufa hata nchi jirani hajawahi kufika.

Yani Mwanaume mzima hata Kenya, Uganda, Zambia, Rwanda basi hata Malawi hujawahi kufika kabisaaaa? Inashangaza sana

Nenda hata holiday siku 3 urudi, Umekariri eti December mwanaume unaenda kujazana kwenye vibasi vidogo unaenda kijijini kwenda kusalimia.( Sikatai kusalimia wazazi, ndugu ila kila mwaka upo tu).

Kama huwez kuchukua familia emu jibebe we mwenyew basi nenda hata jiji la Nairobi, Gaborone au Kwa madiba ukajipige msasa hicho kichwa na mawazo uone walau mbali na ujinga wa watanzania walio wengi pia kuna raia wa nchi zingine wanajitambua.
Nenda kakutane na watu wapya na si kila siku unakutana na wagogo wa dodoma tu.

Toka umezaliwa wewe kweli mpaka hapa unakaribia kuzeeka na kufa Unaishia Dar m-Arusha au Dar-Mbeya.BADILIKA!!!!!

Kuna nchi za jirani hapo hata nauli haifiki 200,000 kwa bus kama huna nauli ya ndege mfano: kutoka Dar-Harare ni dola 100 tu ~Tsh 233,000.

Umekazana tu ukipata kahela mbio kijijini, Utakuja kurogwa!!!

Nenda ukaone raia wa sauzi, Botswana, Namibia hata Congo walivyojitambua na namna wanajua haki zao siyo wewe kutwa Simba,Yanga na ukiambiwa Kapige kura unajifanya haikuhusu, kule raia wanajitambua na hakika ukienda huko na kurudi utaona namna ambavyo Ujinga unatuharibu wa Tanzania.

Hapa nilipo namshukuru MUNGU nimefika nchi 5 tofauti tofauti Botswana,Zambia,Malawi,south Africa na Congo.

Yani nimejionea namna raia nchi zingine wanavyo-enjoy na kula National cake na siyo huku Bongo Raia walala hoi wanateseka na bado kutwa kusifia ujinga.

NENDA KATOE USHAMBA HUKO,MWANUME MZIMA UNAISHIA MAFINGA TU.

View attachment 2611745
View attachment 2611746
View attachment 2611747
View attachment 2611748

KAMA UNA HELA SIYO MBAYA NENDA HATA ULAYA,USA NA KWINGINE.
NA KAMA HUNA NENDA HAPO KWA JIRANI.

Nshomile
Kagera,Tanzania
Kenya tangu primary mzee.we umeanza kwenda Una 40?
 
Shida sio nchi jirani shida wengine hatujatoka hata nje ya vijiji tulivyozaliwa na kukulia
 
We unasema Kenya,Zambia mbali kote uko hapa hapa dar kuna watu hawajawahi kufika posta
 
Yaani Malawi hii inayoongoza kwa Umasikini Duniani ndio wanaojitambua?

wanajitambua kwa maana hawatawaliwi kimabavu, na wanaweza kumtoa mtawala yyte anayekula na kufuja pesa.

Kati ya malawi na wabongo mimi naona wamalawi wanajitambua na umaskini wao unasababishwa na wao kukosa rasilimali za kuingiza kipato.

wana madini ya aina 2 nchi nzima nayo ni makaa ya mawe na Bauxate m(ore mineral ya aluminium).

Hawana bandari, hawana watalii, hawana kitu kingine cha kuingiza kipato zaidi ya kilimo tu

ILA WANAJITAMBUA KWA KUWA HAWATAWALIWI KIMABAVU KAMA NYINYI WATANZANIA
 
Back
Top Bottom