Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,165
- 5,553
Jambo Jambo?
Huwa nashangaa baadhi ya watanzania ambao wamejiweka mitazamo ya kuzaliwa, kuishi, kuoa mpaka Kufa hata nchi jirani hajawahi kufika.
Yani Mwanaume mzima hata Kenya, Uganda, Zambia, Rwanda basi hata Malawi hujawahi kufika kabisaaaa? Inashangaza sana
Nenda hata holiday siku 3 urudi, Umekariri eti December mwanaume unaenda kujazana kwenye vibasi vidogo unaenda kijijini kwenda kusalimia.( Sikatai kusalimia wazazi, ndugu ila kila mwaka upo tu).
Kama huwez kuchukua familia emu jibebe we mwenyew basi nenda hata jiji la Nairobi, Gaborone au Kwa madiba ukajipige msasa hicho kichwa na mawazo uone walau mbali na ujinga wa watanzania walio wengi pia kuna raia wa nchi zingine wanajitambua.
Nenda kakutane na watu wapya na si kila siku unakutana na wagogo wa dodoma tu.
Toka umezaliwa wewe kweli mpaka hapa unakaribia kuzeeka na kufa Unaishia Dar m-Arusha au Dar-Mbeya.BADILIKA!!!!!
Kuna nchi za jirani hapo hata nauli haifiki 200,000 kwa bus kama huna nauli ya ndege mfano: kutoka Dar-Harare ni dola 100 tu ~Tsh 233,000.
Umekazana tu ukipata kahela mbio kijijini, Utakuja kurogwa!!!
Nenda ukaone raia wa sauzi, Botswana, Namibia hata Congo walivyojitambua na namna wanajua haki zao siyo wewe kutwa Simba,Yanga na ukiambiwa Kapige kura unajifanya haikuhusu, kule raia wanajitambua na hakika ukienda huko na kurudi utaona namna ambavyo Ujinga unatuharibu wa Tanzania.
Hapa nilipo namshukuru MUNGU nimefika nchi 5 tofauti tofauti Botswana,Zambia,Malawi,south Africa na Congo.
Yani nimejionea namna raia nchi zingine wanavyo-enjoy na kula National cake na siyo huku Bongo Raia walala hoi wanateseka na bado kutwa kusifia ujinga.
NENDA KATOE USHAMBA HUKO,MWANUME MZIMA UNAISHIA MAFINGA TU.
KAMA UNA HELA SIYO MBAYA NENDA HATA ULAYA,USA NA KWINGINE.
NA KAMA HUNA NENDA HAPO KWA JIRANI.
Nshomile
Kagera,Tanzania