anakukata stim muda huo huohaahhahahaha kuna kaukweli kabisa,,unaweza kutana na mkaka wa ukweli ngoja aongee!
yaani we acha tu mpendwa wangu....anakukata stim muda huo huo
yaani we acha tu mpendwa wangu....
Sijuwi ninafikiri wanafanya hiyo Surgery hapo bongo ,kwani mkuu The Priest unayo hayo matatizo ya kuota matiti?Duh!hv surgery hapa bongo wanafanya?