Mwanaume kutoka nje ya ndoa

aaha kumbe leseni yao ni kwa wote eeh?

Hapana my dear Bebii usinikoti vibaya! Leseni ni kwetu tu! Wewe ukijiingiza humo unafoji na ndio maana nikikustukia inakuwa mwisho wa safari lakini kinyume chake si kweli.

jamani achaneni na huyo kiumbe anayeitwa mwanaume, hawaeleweki utampa huduma zote anazostahili, na wakati mwingine wewe ndio unamuomba mfanye lakini bado anahangaika tu. ni ushenzi tu walionao ndio maana ukimwi hauishi. mnauthi kweli nyie wanaume.

Dada Mkubwa,taratibu maana wengine hatuna hata hamu na nyie akina dada kwa mliyotufanyia!

naomba kuiliza hivi mwanaume kwa nini anaenda nje ya ndoa na siyo na mwanamke mmoja wengi tu,na mke anampa kila kitu (starehe) na kumridhisha na kumpenda kwa dhati lakini mwanaume ndo hatulii y y y ?
Kila mtu ana sababu zake, wengine wanatumwa na wake zao waende nje ya ndoa

there is no excuse for tabia yao hii.....ukijiridhisha kweli mumeo anatembea nje,achana naye....we are living in magonjwa mengi times,one mistake one goal!,ukijilegeza tu unapelekwa kaburini......wanawake tuache kuwa emotional and economical dependants.....yes we can live without our husbands!!

I think ni kwa sababu watu hawamuogopi mungu wanafanya mambo hovyohovyo wakimcngizia shetani. Ni mapenzi ya kinafiki yametawala na ndo yanapelekea utokaji nje kwa wakristu tunaambiwa kuwa wawili mnakuwa mwili mmoja wkt wa ndoa hebu imagine kama hy ndo imani inayotakiwa ijengeke kwa wanandoa wanapata wapi nguvu ya kuumiza moyo wa mwenzi wako either akijua au acpojua kwani kama imani imewaunganisha that means his heart is ur u cannot plan 2 hurt it

Daa hii kali sana yaani jamaa wana leseni na wana uzoefu wa kutosha hivyo hawachagui gari la kuendesha. Daa kali kweli kweli ila play safe magari mengine hayana brake.

Hii sometimes inakuja kutokana na ujuaji wa baadhi ya wanawake, maana akitoka kazini utasikiani nimechoka au naenda jikoni after that ooh usingizi kesho nawahi kazini. Ebooh...

Hii sometimes inakuja kutokana na ujuaji wa baadhi ya wanawake, maana akitoka kazini utasikiani nimechoka au naenda jikoni after that ooh usingizi kesho nawahi kazini. Ebooh...
Hivi sisi wanaume hatuchoki, hatuendi jikoni, wala hatuna usingizi wala kazi eeh?

Yaani wanaohangaika kutafuta wanawake /kutongozatongoza ni waume za watu why?

Ni kwakuwa wanaume ni wachache ukilinganisha na wanawake. vinginevyo wanawake wengine watakosa huduma

mhh! mtatuua kwa mapresha ya kutuletea mitoto ya nje.

sehemu kubwa ya watoto cio wa ndani.umesahau ile ya asilimia 51 ya watoto waliozaliwa katika ndoa waliofanya dna testing dar hawakumatch na wale waliodhani ni baba zao?

there is no excuse for tabia yao hii.....ukijiridhisha kweli mumeo anatembea nje,achana naye....we are living in magonjwa mengi times,one mistake one goal!,ukijilegeza tu unapelekwa kaburini......wanawake tuache kuwa emotional and economical dependants.....yes we can live without our husbands!!

na yule utakaye kuwa naye kwa ajili ya kuchakachua c ni wa mwenzio? Na afya yake je! Mnaweza kuishi bila husb lakn cio bila kufanya mapenzi

I think ni kwa sababu watu hawamuogopi mungu wanafanya mambo hovyohovyo wakimcngizia shetani. Ni mapenzi ya kinafiki yametawala na ndo yanapelekea utokaji nje kwa wakristu tunaambiwa kuwa wawili mnakuwa mwili mmoja wkt wa ndoa hebu imagine kama hy ndo imani inayotakiwa ijengeke kwa wanandoa wanapata wapi nguvu ya kuumiza moyo wa mwenzi wako either akijua au acpojua kwani kama imani imewaunganisha that means his heart is ur u cannot plan 2 hurt it

kumbuka kwamba ratio ya watu cio one to one.sasa hao wengine waende wapi?

Back
Top Bottom