Mwanaume bila gari ni aibu kubwa

Gari ni kitu cha msingi lakini si cha lazima, hakuna aliye pata aibu kwa kukosa gari. Mwanaume anaweza ukapatwa na aibu pale tu itakapoonekana alikuwa na pesa na hakujenga nyumba. Nafikiri gari siyo kilele cha mafanikio ya mwanaume wala siyo kipimo cha kutofanikiwa pia.
Great thinking for a gret thinker
 
Niliposoma story ya maisha ya lemutuz ndo nikaona tofauti kati ya Nigers na wazungu. Anakwambia watu weusi bado hawajapewa uhuru wa kifikra. Ndo nnacho kwa huyu jamaa hapa. Hata trump anavotutukana ni dhahiri bado watu weusi hatujaonyesha uwezo wa kuwaonyesha wazungu vitu vya maana tunavyofikiria, zaidi ya kuvaa na kuendesha magali.
 
Mleta naona ume kariri lakini nakushauri ujaribu kujifunza zaidi upate kuelewa maisha jinsi yalivyo !
Sijui kwa nini kuna watu wanapenda show off !
Hali hii imekuwa ikifanya wengi kuishi maisha yasiyo halisi!
Unakuta Mtu ana madeni kibao kiasi cha kukosa amani sababu to ni social approval seeker
Kwa taarifa yako wanaojielewa siku hizi hutumia Gari wakati wa kwenda kazini Kama kituo cha basi kiko mbali kuepuka majasho lakini jioni wakati wa kurudi kazini anatembea kwa miguu ili kuweza ku burn calories na kuepuka uzito kupindukia ili kuweka afya kuwa njema siku zote!
Nina uhakika kuwe kungekuwa na mfumo na mazingira ya kupata mabasi Kama ya Udart kufikika maeneo mengi basi watu wengi wangeacha Magari Yao na kuanza kutumia commuter transport services!
 
Ni kweli ila kuwa na ela sio matako kuwa kila mtu lazma apate..ingekuwa ivyo tusingeweza kupishana barabarani..na sio kila anaepanda public transport kuwa hana gari
 
Za leo ndg zangu.

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za ngongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.
SIDHANI KAMA NI AIBU ILA INATEGEMEA MTU NA MTU....DON'T BITE MORE THAN YOU CAN CHEW.
 
Gari gani ...hapo unamaanisha maana baby worker sio gar ...la Mwanaume hayo ni magar ya watoto...sio wanaume...kama unamiliki gar yakuanzia Mil: 30 hapo sawa tunaweza kukuelewa.
 
Za leo ndg zangu.

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za ngongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.

akili ya kibongo hiyo gari sio ya kwanza muhimu. kaka muhimu nyumba uwe na nyumba kwanza ukiwa mgonjwa upo kwako ukilala njaa upo kwako hakuna anaijua haya uwe na gari nyumba umepanga mara mwenyenyumba akuamrishe mbele ya family yako mara anapandisha kodi mara akufukuze na kukutolea maneno mbele ya watoto nyumba kwanza
 
kwani nini maana ya gari? Gari ni kitu gani? Sidhani kama ni aibu mwanaume kukosa gari kwasababu unapofikiria kupata gari mwenzio kuna wengine ni walemavu wanamuomba mungu ata angewapa miguu tu ili siku wasimame na watembee kama wewe
 
Kuna factors kibao za kuzingatia maana watu wanatofautiana background ya uchumi wao na hali hallisi ya maisha kwa sasa....kama mtu bado anapambana kupata mahitaji ya lazima ili aishi, sidhani kama kwake gari ni lazima.
 
Za leo ndg zangu.

Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano?

Unapanda ngarangara za ngongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha unakimbia na familia.

Aibu sana.

, inarahisisha mambo mengi so its a good thing kama ukiweza kuuwa nayo. Pia kama huwezi afford it’s not a bad thing, naamini 90% ya watanzania hawana magari binafsi.

Pia ni priorities za mtu binafsi:
1. Namiliki gari ya Mil 15, hata kiwaja sina.
2. Namiliki nyumba ambayo nkiuza atleast sikosi Mil 50, lakin sina gari.....

So simply because you have a car, does not necessarily tell that you are better off that non car owners.
 
Back
Top Bottom