Mwanaume asieweza kuzaa anahitajika

pretty good

Member
Sep 17, 2016
36
26
Sifa
- Si zaidi ya miaka 40
- Mkristo, mlokole atapewa kipaumbele
- Awe na kipato halali, anajitegemea.
- Elimu si chini ya form 4

Mimi sina uwezo wa kuzaa na nimejiajiri.
Karibu tufarijiane!
Kwa alieserious anifuate PM
 
ngoja nije pm ..am under 26
 
kuna mtu aliwah kupost thread kuwa walokole wana roho mbaya...naanza kuamin!inaonekana ww mlokole na ndio maana unahitaj mlokole mwenzako ila ulokole wako batili,kwa yafuatayo

kwanza,mlokole gani unaekuwa mbaguz et unahtaj mume ila kipaombele kwa mkristo mlokole

pili,nyinyi huwa mnasema mume mwema utapewa na bwana inakuaje ww unamtafta jf

tatu,unatafta mume ukijifanya unatanguliza dini wakat unabagua wasio soma,je yesu nae alikuwa m'baguz?

Nne,mlokole gani unaeka maswala ya kipato mbele et awe na kipato? wakat nyinyi ndio mnatuaminisha kuwa mtu hataishi kwa mkate ila kwa neno la bwana!!!!
NB:jiulize kwanini mpaka umri huo huna mtu!
umeachika mala ngapi!,
kwanini wanaume hawakufat hadi unaamua kuwafata
KAMA HUNA MUME KWAKUWA NI MJANE POLE ILA KAMA NI VINGINEVO BHAS JUA UNA MATATIZO
 
swadakta
 
Sifa
- Si zaidi ya miaka 40
- Mkristo, mlokole atapewa kipaumbele
- Awe na kipato halali, anajitegemea.
- Elimu si chini ya form 4

Mimi sina uwezo wa kuzaa na nimejiajiri.
Karibu tufarijiane!
Kwa alieserious anifuate PM
Mfarijiane kwa kungonoana bila kinga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom