Mwanaume anamzimia dada Kanisani mpaka anatamka haya kweli wanaume tuna kazi

Boniface Evarist

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
1,147
512
chekii hii...! Huu ugentleman mwingine ni extraordinary: jamaa kamzimia dem kanisani, mara ukafika muda wa sadaka eti akamwambia "dont wory i'll pay 4 u" mapenzi mabaya guyz yaani jamaa kajisahau kabisa kwamba yuko wapi,teh teh teh teh teh teh teh...
 
Bora umehamishia huu uzi chitchat manake wadau hawakuwah kuuona kule jokes n'udaku japokuwa ipo kule long time..
 
kila anayejisikia kuamisha vya jukwaa la jokes humu!! si ndio kujaza sever huko.
 
chekii hii...! Huu ugentleman mwingine ni extraordinary: jamaa kamzimia dem kanisani, mara ukafika muda wa sadaka eti akamwambia "dont wory i'll pay 4 u" mapenzi mabaya guyz yaani jamaa kajisahau kabisa kwamba yuko wapi,teh teh teh teh teh teh teh...

Weeeeeeeee!
 
.mkuu! ilikua kanisa gani hiyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom