Mwanasoka wa kwanza katika historia ya uingereza kuipandisha timu yake kutoka madaraja ya chini kabisa mpaka daraja la juu.

carnage21

JF-Expert Member
Jan 24, 2023
520
1,257
Pelly Ruddock Mpanzu (amezaliwa 22 Machi 1994) ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo Katika klabu ya Luton Town Ambayo Imefanikiwa Kupanda Ligi Kuu ya Uingereza Msimu ujao.

Pelly Alizaliwa Nchini Uingereza ila aliamua kuwakilisha Taifa la Wazazi wake DRC na Anacheza Katika timu ya taifa ya DR Congo 🇨🇩.

Pelly Ndiye mwanasoka wa kwanza Katika Historia ya Uingereza Kuipandisha Daraja Timu yake kutoka katika Madaraja ya Chini kabisa Yan mfano Kwa Ligi za Tanzania Zile Ligi za Wilaya Hadi Kuipandisha Timu Ligi Kuu akiwa na klabu moja Yani Hajawahi Kuhama

Haya Ndio Madaraja ya Ligi za Uingereza kuanzia Daraja la Chini Hadi Ligi Kuu Ambayo Pelly Amecheza akiwa hapo tangu 2013

✓National League
✓League 2
✓League 1
✓Championship
✓Premier League ®

Tumpongeze na apewe maua yake👏👏
FB_IMG_16852469423661926.jpg
 
Alikuwa hachezi peke yake ujue. Ingawa kupongezwa kwake ni lazima na si ombi!

Hakuna kweli wachezaji walioanza na timu hii wakapanda nayo mpaka ligi kuu kweli? Yaani wote wamehama?
 
Ligi nyingine wapo ila uingereza hii ndo mara ya kwanza
Alikuwa hachezi peke yake ujue. Ingawa kupongezwa kwake ni lazima na si ombi!

Hakuna kweli wachezaji walioanza na timu hii wakapanda nayo mpaka ligi kuu kweli? Yaani wote wamehama?
 
Pelly Ruddock Mpanzu (amezaliwa 22 Machi 1994) ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo Katika klabu ya Luton Town Ambayo Imefanikiwa Kupanda Ligi Kuu ya Uingereza Msimu ujao.

Pelly Alizaliwa Nchini Uingereza ila aliamua kuwakilisha Taifa la Wazazi wake DRC na Anacheza Katika timu ya taifa ya DR Congo 🇨🇩.

Pelly Ndiye mwanasoka wa kwanza Katika Historia ya Uingereza Kuipandisha Daraja Timu yake kutoka katika Madaraja ya Chini kabisa Yan mfano Kwa Ligi za Tanzania Zile Ligi za Wilaya Hadi Kuipandisha Timu Ligi Kuu akiwa na klabu moja Yani Hajawahi Kuhama

Haya Ndio Madaraja ya Ligi za Uingereza kuanzia Daraja la Chini Hadi Ligi Kuu Ambayo Pelly Amecheza akiwa hapo tangu 2013

✓National League
✓League 2
✓League 1
✓Championship
✓Premier League ®

Tumpongeze na apewe maua yake👏👏View attachment 2637515
😍😍😍 Safi sana ana la kusimulia maishani
 
Maua apewe lakini tuzingatie:-
-Asipewe maua yenye sumu/yaliyonyunyiziwa sumu(spray),
-Atakayeteuliwa kumpa maua yake akaguliwe.Wengine hujifunga mabomu ya kujitoa muhanga.
Apewe maua yake kiroho safi!
 
Haya Makolo njooni Huku mmepata timu ingine ya kushabikia ukiacha Waarabu wa Leo Taifa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom