Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Leo ni tarh 2/6/2012, na kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.

Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka sasa.
 
Kwanini mwaka mpya wa serikali tupigie kura mwanasiasa bora, wakati watendaji wa serikali sio wanasiasa?

Kwanini tusipie kura katibu mkuu bora au mkurugenzi bora?
 
Angalisho, kuna wanasiasa vijana ambao mazingira waliyo nayo yanawapa nafasi ya kufanya hivyo kadiri ya itikadi zao. Kuna wanasiasa vijana ambao kwenda kinyume cha itikadi za vyama vyao ni ushujaa pekee kwa vile yataka moyo. Kwa mtazamo wangu Deo Filikunjombe amekuwa na ushujaa wa pekee sana kuishoshea kidole serikali ya CCM mara kwa mara bila woga kwa ajili ya kutetea wananchi wa Jimbo lake na Taifa.
 
Back
Top Bottom