Wadau hii imekaaje,madereva wetu wanataka kugoma kisa wameambia warudi shule wakajifunze zaid kuhusu udereva,mmh wabongo bhana migomo mingne haina maana.
Naunga mkono na mguu point hii.Mi sioni sababu ya kuwagandamiza madereva.
Kwanza chuo wanachoambiwa wakasome ni kimoja tu ,NIT.Gharama yake ni kubwa kwa muda wa wiku 10,
Kumlipisha mtu sh.500,00,0/= kwa siku 10 ni wastani wa sh.50,000/= kwa siku.Ni pesa nyingi kwa mtu asiye na ajirara rasmi wakati ana familia.
Hata hivyo ni kuwaonea tu madereva kwa kuwaona kuwa ni wa zembe wakati. Wizara na idara zote zina matatizo yanayowapasa watumishi wote kurudi darasani.
Wewe unaona sawa, daktari na Mwalimu uliwahi ona wanaambiwa warudi shule tena ndipo waendelee na huduma zao, wako sahihi kabisa maana hiyo ni njia ya kuibia wananchi pesa zao, ada ya kurudi kusoma unajua ni shilingi ngapi? nadhani system ya nchi haiko systematic, utaratibu huo wameuchukua wapi, nadhani ni pendekezo la IGP au RPC mmoja serikali imeliunga mkono.Wadau hii imekaaje,madereva wetu wanataka kugoma kisa wameambia warudi shule wakajifunze zaid kuhusu udereva,mmh wabongo bhana migomo mingne haina maana.
Mi nishamjua!!!!
Mi sioni sababu ya kuwagandamiza madereva. Kwanza chuo wanachoambiwa wakasome ni kimoja tu ,NIT.Gharama yake ni kubwa kwa muda wa wiku 10,
Kumlipisha mtu sh.500,00,0/= kwa siku 10 ni wastani wa sh.50,000/= kwa siku.Ni pesa nyingi kwa mtu asiye na ajirara rasmi wakati ana familia.
Hata hivyo ni kuwaonea tu madereva kwa kuwaona kuwa ni wazembe wakati Wizara na idara zote zina matatizo yanayowapasa watumishi wote kurudi darasani.
Hakuna ukweli juu ya hili. Binafsi niliwasikia madereva wakisema kwa dereva atakaye wasaliti wao hawatapiga ila watamtenga katika umoja wao
Hiyo ada hawalipi wao wanalipa matajiri wao waliowaajiri.Kama kulalamika na kugoma wangegoma waajiri ambao wanawajibika kuwasomesha na kuwalipia.Huu mgomo umechochewa na wanasiasa ni kweli kabisa.
Hiyo ada hawalipi wao wanalipa matajiri wao waliowaajiri.Kama kulalamika na kugoma wangegoma waajiri ambao wanawajibika kuwasomesha na kuwalipia.Huu mgomo umechochewa na wanasiasa ni kweli kabisa.