Mwanasheria wa CHADEMA Wilaya ya Rungwe avua gwanda na kujiunga na CCM

wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
510
839
"Nimeamua kwa moyo Mmoja kujivua UANACHAMA wa CHADEMA na kujiunga na CHAMA CHA MAPINDUZI. Sababu zangu ni za msingi hivo niwatake Ndugu jamaa na marafiki kulipokea hilo na sio kwa kushawishia na Mtu, bali maamuzi binafsi.

Ninategemea kukitumikia chama changu kipya kwa Uaminifu kufikia malengo yaliokusudiwa.

Nategemea sana watu wasio na wema na shukrani kuibua maneno na ya ajabu na kuzusha sababu ambazo sijaziandika katika barua hio.

Natambua haki yangu ya kuwa muumini na mshabiki wa chama chochote pasipo kulazimishwa na mtu.. Hivo kuhamia na kuwa mwanachama wa CCM ni moja ya haki yangu ya msingi kwa kuunga mkono Jitiada za Serikali ya awamu ya 5, ya Dr John P. Magufuli..

By
John L. Mahimbo
(Niliekuwa Mjumbe wa Kamati tendaji ya wilaya Rungwe na Mshauri wa maswala ya Sheria Wilaya ya rungwe CHADEMA)

[HASHTAG]#TUKUTANE[/HASHTAG] [HASHTAG]#KAZINI[/HASHTAG]"
FB_IMG_1516092797652.jpg
 
Wewe wa huko huko Koromije ulikuwa kibaraka tuu wa ccm huna lolote.Mwanasheria utakuwa Wewe?
 
"Nimeamua kwa moyo Mmoja kujivua UANACHAMA wa CHADEMA na kujiunga na CHAMA CHA MAPINDUZI. Sababu zangu ni za msingi hivo niwatake Ndugu jamaa na marafiki kulipokea hilo na sio kwa kushawishia na Mtu, bali maamuzi binafsi.

Ninategemea kukitumikia chama changu kipya kwa Uaminifu kufikia malengo yaliokusudiwa.

Nategemea sana watu wasio na wema na shukrani kuibua maneno na ya ajabu na kuzusha sababu ambazo sijaziandika katika barua hio.

Natambua haki yangu ya kuwa muumini na mshabiki wa chama chochote pasipo kulazimishwa na mtu.. Hivo kuhamia na kuwa mwanachama wa CCM ni moja ya haki yangu ya msingi kwa kuunga mkono Jitiada za Serikali ya awamu ya 5, ya Dr John P. Magufuli..

By
John L. Mahimbo
(Niliekuwa Mjumbe wa Kamati tendaji ya wilaya Rungwe na Mshauri wa maswala ya Sheria Wilaya ya rungwe CHADEMA)

[HASHTAG]#TUKUTANE[/HASHTAG] [HASHTAG]#KAZINI[/HASHTAG]"View attachment 676944

Mwanasheria gani anashindwa kuandika Rungwe anaandika rungwe

Hata haeleweki, huyu alikuwa galasa tu huku alikokuwa
 
waliojiandikisha watu Milion 9
waliopiga kura watu laki nne
ccm kura laki 2
ukawa kura laki 1
zilizoharibika elf 60
kura laki nne vyama vingine
 
nilidhani mwanasheria LISSU !
duh nilitaka kupata mshtuko kumbe rungwe !
 
Back
Top Bottom