Mwanangu yupo humu JF na kijiwe chake kikuu ni hapa MMU

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Mwanangu ujuwe nakuona na yale unayoyaandika na kuyavalia jezi hapa kwenye kijiwe cha mahusiano mapenzi na Unafiki.
Hivyo ni vizuri ukaachana na ukumbi huu haukufai na nakuona unavurugika akili na unayoyaandika hata mimi mzazi wako sijayafikia.

Yaani mzazi unakutana na mwanao kwenye mitaa ya aina hii unahitajika ufanye kitu gani ? na vizuri hajajijua kama ni yeye au wewe unaesoma.
Na yeye hana ufahamu kuwa mimi ni mwanachama tokea Jambo forums ,ondoka.
 
Mimi pia majukwaa yangu ni mmu, hoja mchanganyiko, jf photos kwenye uzi wa vituko na warembo, tec and science, the rest hadi nikutane na uzi bahati mbaya au kwenye general feeds, siasa na michezo ndio sitaki kabisa
 
Wewe endelea kuchukulia poa tu. Kuna siku huyo mwanao atakuja pm kukuomba mzigo ndipo akili itakukaa sawa!
 
Mwanangu ujuwe nakuona na yale unayoyaandika na kuyavalia jezi hapa kwenye kijiwe cha mahusiano mapenzi na Unafiki.
Hivyo ni vizuri ukaachana na ukumbi huu haukufai na nakuona unavurugika akili na unayoyaandika hata mimi mzazi wako sijayafikia.

Yaani mzazi unakutana na mwanao kwenye mitaa ya aina hii unahitajika ufanye kitu gani ? na vizuri hajajijua kama ni yeye au wewe unaesoma.
Na yeye hana ufahamu kuwa mimi ni mwanachama tokea Jambo forums ,ondoka.
Baba nitaacha usijali
 
Mwanangu ujuwe nakuona na yale unayoyaandika na kuyavalia jezi hapa kwenye kijiwe cha mahusiano mapenzi na Unafiki.
Hivyo ni vizuri ukaachana na ukumbi huu haukufai na nakuona unavurugika akili na unayoyaandika hata mimi mzazi wako sijayafikia.
Kabla sijachangia chochote ninashauri utafute kifupisho kingine, hicho ulichoandika MMU tayari kimechukuliwa kinatumika huko Morogoro
 
Msubili akirudi nyumbani Piga makofi mazito mazito mashavuni akili zitamkaa sawa

Makofi ni dawa
 
O' hhoo , yaani hayo mliyoaeleza ni kujijulisha kwake ya kwamba nami nimo, hadi sasa hajui kitu chochote wala hawezi kunifikiria kama nami ni mhusika humu .Siku nikimhusisha kwa kumuuliza nitaharibu kila kitu.
Bora nivumilie tu ,najua atakuja na masuali ya kiudadisi ili ajue kama ni mimi. Lakini hautafanikiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom