Mwananchi website down

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,554
12,674
kuna tatizo gani kwenye website ya gazeti la mwananchi.

Toka jana imekuwa haipatikani,napata hizi messages Internet Explorer cannot display the webpage and Database Error: Unable to connect to the database:Could not connect to MySQL.

Je,site hii imehujumiwa?Naomba wahusika watujuze.
 
hata mimi tatizo hili nimeliona japo sasa imekubali siku hiz hii web haipo stable ka ilivyokuwa zaman sijui system admin mna yapi ya kutujuza
 
kuna tatizo gani kwenye website ya gazeti la mwananchi( www.mwananchi.co.tz ).Toka jana imekuwa haipatikani,napata hizi messages Internet Explorer cannot display the webpage and Database Error: Unable to connect to the database:Could not connect to MySQL.Je,site hii imehujumiwa?Naomba wahusika watujuze.

tatizo kama hili hutokea pale kunapofanyika updation za taarifa..mara nying tatizo hili hutokea aksubuh mpaka saa 6 mchana...
 
Back
Top Bottom