Mwananchi amwaga Machozi akimtaka Rais Samia kufuta Mkataba wa DP World

Mama Samia kabaki mwenyewe tu katika mkataba huu. Hali ni mbaya sana tena sana. Mbarawa hana amani kabisa. Bogus mkataba huu kila msomi analia. Mama kabaki na Baba Levo na Mauldi Kitenge na yule kuwadi Stev Nyerere.
Tupo nae saaaaaana; nyie mawakala wa mashetani mlionunuliwa tunawachora tu na propaganda zenu za kjjinga mitandaoni humu.
 
Mdada wa watu ameamua kutoa machozi baada ya kuona anaenda kugeuzwa mtumwa ndani ya mipaka ya nchi yake, moyo wake umeshindwa kuvumilia maumivu ya kuona watoto, wajukuu, vitukuu vyake vitakaposhindwa kufaidi rasilimali watanganyika tulizopewa na Mungu.

Samia aendelee kunyamaza, aendelee kuacha vifua vya wengi viendelee kujaa kwa maumivu, na hasira, atambue wapo wengi wasiotoa machozi ili kutuliza maumivu ndani ya mioyo yao kama alivyofanya Edna, hawa hasira zao wataenda kuzitolea sehemu nyingine kwa njia nyingine.

Sasa muache akae asubiri mjinga aliyeamua kuziba masikio akijitapa kufanya kazi asizojua anamfanyia nani.
 
Katika mjadala unaoendelea Clubhouse, mwananchi mmoja aliyetambulika kwa jina la Edna ameshaindwa kuuliza swali baada ya kushikwa na kilio kabla ya kuuliza swali lake kwa wazungumzaji

Kwa sauti ya kulia Edna amesema "Msigwa mwambie dada, Rais Samia afute huo mkataba, sisi hatuutaki"

Msigwa, msemaji mkuu wa serikali ambaye ni muongoza mjadala huo amemwambia Edna asiharibu mjadala, kama hana swali awape fursa wengine waulize

Habari Maelezo, inaongoza mjadala wa kuhusu bandari huko Clubhouse ambapo wananchi wanapewa fursa ya kuuliza maswali na kupewa ufafanuzi na state actors
Nae huyo kitoga tu anaacha kutoa hoja anaanza kupoteza muda kujiliza ili akiki
 
Mdada wa watu ameamua kutoa machozi baada ya kuona anaenda kugeuzwa mtumwa ndani ya mipaka ya nchi yake, moyo wake umeshindwa kuvumilia maumivu ya kuona watoto, wajukuu, vitukuu vyake vitakaposhindwa kufaidi rasilimali watanganyika tulizopewa na Mungu.
Yawezekana alikuwa na kibopa bandarini anamhonga mipesa mingi
 
Tupo nae saaaaaana; nyie mawakala wa mashetani mlionunuliwa tunawachora tu na propaganda zenu za kjjinga mitandaoni humu.
Upo nae wewe sio kujumuisha na wengine ila kama upo kundi la ukasuku sawa. Hali ni mbaya sana huyo bibi yako anajuta vibaya sana.
 
itakuwa ndo wale walikuwa wanarudi na fuko la hela nyumbani kila wiki. TPA kulikuwa na upigaji sana aisee
Suala la kusema TPA kuna upigaji ni hoja mfu sana hii, CCM wanatembelea hii hoja wakati ni Rais ndiye anayeteua Mwenyekiti wa bodi na mkurugenzi mkuu. Tukubaliane mfumo wote wa uongozi wetu haufai.
 
Wanasambaza meseji kweny magroup ya kanisa wakipewa hofu eti wakristo watakosa ajira ,mara sijui nchi itageuka kuwa ya kiislamu ,mara watabaguliwa .

Zipo wapi hoja za kiuchumi zenye mantiki ?

Tibaijuka huyu aliyekula pesa za Escrow na kusema hadharani na wale maaskofu waliohongwa ila kumsafisha na walikuwa na kesi huko mahakamani?

Je watu fulani wakiibua mjadala wa uendeshaji wa hospital ya KCMC na Bungando kwa kupewa ruzuku na serikali naw waliosaini na kutoa wazo hilo wote wa dini ,si watu wa dini fulani wataanza kuitwa magaidi?

Kwa nn hamna hoja za kiuchumi zaidi ya watu kuleta hofu tu mara waliosaini ni wazanzibar mara waislamu hii ni hoja kweli kama sio wapumbavu ndo wanakuwa na ujinga huo.
 
Katika mjadala unaoendelea Clubhouse, mwananchi mmoja aliyetambulika kwa jina la Edna ameshaindwa kuuliza swali baada ya kushikwa na kilio kabla ya kuuliza swali lake kwa wazungumzaji

Kwa sauti ya kulia Edna amesema "Msigwa mwambie dada, Rais Samia afute huo mkataba, sisi hatuutaki"

Msigwa, msemaji mkuu wa serikali ambaye ni muongoza mjadala huo amemwambia Edna asiharibu mjadala, kama hana swali awape fursa wengine waulize

Habari Maelezo, inaongoza mjadala wa kuhusu bandari huko Clubhouse ambapo wananchi wanapewa fursa ya kuuliza maswali na kupewa ufafanuzi na state actors
hivi alikuwa anajua anacholilia?
 
Duuuh, kwahiyo Faizafoxy akasemaje?
 
wanawake kwa kulia lia wanajua kuekt kulia badari yeye hanufaiki nayo labda kanisa lake maana wakristo utajiri wao ni wa bandarini
 
Katika mjadala unaoendelea Clubhouse, mwananchi mmoja aliyetambulika kwa jina la Edna ameshaindwa kuuliza swali baada ya kushikwa na kilio kabla ya kuuliza swali lake kwa wazungumzaji

Kwa sauti ya kulia Edna amesema "Msigwa mwambie dada, Rais Samia afute huo mkataba, sisi hatuutaki"

Msigwa, msemaji mkuu wa serikali ambaye ni muongoza mjadala huo amemwambia Edna asiharibu mjadala, kama hana swali awape fursa wengine waulize

Habari Maelezo, inaongoza mjadala wa kuhusu bandari huko Clubhouse ambapo wananchi wanapewa fursa ya kuuliza maswali na kupewa ufafanuzi na state actors
Sisi hatuutaki,yeye na nani?
 
Back
Top Bottom