r.i.pmuda si mrefu mwanamziki wa msondo ngoma josee maina amefariki dunia ndani ya daladala alikuwa akienda kurecord sinza.
Poleni ndugu wa marehemu pamoja na mashabiki wa msondo ngoma.
More news to come.
Nimekuja kujua Muziki wa msondo ikiwa waimbaji wanne tayari washatoweka....ni huzuni sitoweza kuwaona wakitoa burudani wakiwa hai.
Mapenzi ya Mungu...awaeke pema peponi