Mwanamziki gani wa kike anakuvutia hapa?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Feb 19, 2015
2,939
517
Labda ni msanii gani wake kwa bongo fleva anakuvutia katika vipengele vifuatavyo tabia nzuri,mavazi ya heshima,kuongea vizuri na watu, hana skendo, anajua kucheza jukwaani.

Tujuzane hapa wakuu
 
hapa wapi?????????? wako wapi.????????tuoneshe kwanza.
 
Kwa taarab hakunaga km huyu mwanamama anaitwa swabah salum Muchachu
 
Hamna mwenye vigezo ivyo vyote hapa izo skendo ndo wanazozitafuta kila cku ili waonekane bado wapo.
 
Back
Top Bottom