Mwanamke wangu anachat mda wote

Anza kuangalia mechi za mpira wa miguu muda wote, marudio kwa live matches mwisho wa siku atakuelewa. Vinginevyo anza kuzitafuta series za Kikorea
 
km
Jamani naombeni ushauri mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi.
huwez mlazimisha mtu akuheshimau akujali.............km anachart mda wote mbele yako au unakatazwa hata kushika cm yake yaan yeye ndo anakuendesha mhhhhh
 
Jamani naombeni ushauri mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi.

Something is wrong., nina uzoefu mkubwa na hilo anza kumpunguzia mapenz badae uachane nae faster mana kumuacha kw mara1 nadhan itakuwa shda.
 
Kutakua na tatizo hapo kama hata msg anazo chart huzioni anazifuta zote da ana mambo ambayo hataki wewe uyajue , kwa kifupi hapo inaonekana umeoa mke wa mtu, mwenyewe yuko pembeni, una muda gani ndani ya hiyo ndoa? Na je uchumba ulichukua muda gani ulihakikisha umepata muda wa kutosha kuyatumbua majipu yote , inawezekana kuna moja limebaki hukulitumbua ndo linakupa shida, au ulioneshwa mchumba ukalazimisha kuoa bila kujua mambo yake kwa undani,
 
Jamani naombeni ushauri mwanamke wangu mda wote anachat na simu na ukiangalia simu yake hukuti meseji hata moja na hataki kupokea simu kila akiwa na mimi.
Baba unaachiwa manyoya sshv piga block asitumie social netwek kbs
 
Kaa na simu yake siku 3 utapata jibu
ikiwezekana tumia simu yake utume sms kwenye namba unazozitilia shaka
tuma sms inayosomeka MAMBO?
 
Back
Top Bottom