Rollin riy
Member
- Aug 14, 2015
- 62
- 224
Jana jioni nilipigiwa simu na dada mmoja ambae anafanya kazi ofisi moja na huyo mchumba wangu. Bila kupepesa macho alinambia kwa nini umemfanyia hivo mwenzio?
Nikamuuliza mbona sijafanya kitu? Akanambia kwanini umng'ate mwenzio shingoni (Love bite) una mchoresha. Nilistuka lakini sikuonesha sana mshangao ikabid nizuge tu kwa kumwambia tulijisahau.
Basi tukaendelea na maongezi mengine. Huyu dada anaefanya kazi na mchumba wangu huwa anafahamu kua kila weekend lazima niwe dar na bibie. Ila ukweli weekend hii sikua Da. Kwa asilimia 100 mchumba wangu amenisaliti.
Na mimi sijamueleza kitu ila kwa kweli nimeshafanya maamuzi siwezi tena kua na mwanamke msaliti. Na nimeumia sana na kwa hili lazima alipe siwezi kuumia peke yangu.
Nna mawazo sana na itabidi nipande basi maana naona niki drive hata Kutokea Dodoma hata Kibaigwa sitatoboa kwa huu msongo ntajikuta nimeingia porini na kufia huko.
Ni bora nipande basi nifike salama. Kwa kweli lazima ale kipigo kikali sanaa na kitakatifu. Sijawahi shika simu yake ila ntampiga mpaka ataifungua najua ntakutana na madudu mengi yatakayo nipa hasira ili nimpige vizuri.
Kama ni usaliti si angefanya tuu kimya kimya yaani mpaka love bite anaenda nayo ofisini na heshima yangu niliyo nayo pale ofisini kwao maana staff wenzake wengi tunafahamiana si wataniona mshamba?
Kiukweli nna hasira kali sanaa. Na kila nilicho mpa ntachoma moto na niliko mpangia naenda kuweka komeo maana mimi ndo nasomeka kwenye mkataba wa upangaji..
Hii dhahiri shairi nimepigiwa. Mwanamke nilimpa kila kitu ila ndo hivo.
Na uchumba umekufa rasmi.