Mwanamke: Unatoka mtoko wa kwanza halafu unakutana na karaha hizi….!

Baby Boy anaendelea vizuri tu kachangamka kama mimi baba yake...
Nashukuru kama hamna njama hizo maana kina gfsonwin, BADILI TABIA, Madame B, lara 1, nyumba kubwa, sweetlady, na viherehere wengine wameniambia itabidi nisubiri mpaka miezi sita ndo nisongeshe... Si nitakufa jamani...
We fikiria nili stop hako kamchezo three months before, ukimjumlisha na miezi sita jumla miezi tisa.....mama weee nafa mwaka huu............LOL

...ina mana hata kidumu wa nje huna?
We mwanaume gani usiekuwa na sehemu ya dharura bhana!
Ah! Unawadharaulisha marijali wenzako Mtambuzi.
Au kuna aibu unaificha?
 
Last edited by a moderator:
Usijali kaka,
tuna nia nzuri tu kaka.
Mama Ngina hajambo?

Mama Ngina ni mzima wa afya na wanaye....
Vipi na wewe habari za kuadimika kule chirt chart... naona hamjapata kibonde mwingine wa kumshambilia kama mlivyonipata mimi last week....LOL
 
Chitchat nimehama,
sasa hv niko Jukwaa la Siasa kuna memberz wanamshambulia Baba mtoto wangu.
 
black-couple-at-lunch-madame-noire-e1348545911944.jpeg

Mtoko wa kwanza huwa unawaweka wanawake katika wakati mgumu ukilinganisha na wanaume. Wakati wanaume kwao sio tatizo kubwa la kuwaumiza vichwa, kwa wanawake huwa wanajiuliza maswali mengi sana kuhusiana na huyo mtu anayekwenda kuonana naye.Hebu tuchulie mwanamke ametoka na mwanaume kwa mara ya kwanza kwa ajili ya kufahamiana na kuangalia kama anaweza kuwa na muafaka na mwanaume huyo kwa matarajio ya kujenga familia bora. Lakini kinyume chake anakutana na karaha hizi zifuatazo. Je kama ni wewe mwanamke unakabiliana na hali hii utafanyaje?

1. Unagundua kwamba mwanaume uliyetoka naye ana mke au ana mpenzi wake..

Baada ya kufika kwenye mgahawa kwa ajili ya kupata mlo wa usiku pamoja, katikati ya maongezi yenu mwanaume huyu anakushika mkono kama ishara ya upendo wakati mkiwa mmekaa mezani. Unapochunguza vidole vyake unagundua kwamba ana alama ya pete ya ndoa, unapomdadisi anakanusha, lakini baada ya kumbana sana anakiri kwamba anaye mke lakini ndoa yake ina vurugu na inalegalegakiasi kwamba siku oyote itavunjika. Au wakati wa maongezi yenu anakiri kwamba anaye mchumba wake, lakini hadhani kama atamfaa ingawa bado wako pamoja. Je utafanya nini?

2. Anakunywa kupindukia mpaka anashindwa kumudu mazungumzo…

Baada ya kupata mlo mnahamia kwenye baa ili kupata vinywaji kidogo kabla ya kuachana, mkiwa hapo baa, mwanaume huyo anakunywa pombe kupita kiasi mpaka anaashindwa kumudu mazungumzo na kuongea pumba tupu.

kweli mimi ningeshakimbia meza mapema 5 mnts inat
osha kujua kimeo hiki ni kusepa bila bye.
 
Ina mana wewe huwezi kufanya hvo kwa nafsi yako?

Aaaah wapi enzi zetu tulizoea sarakasi za chagulaga na niangusage unadhani hayo mambo ya kukaa na mwanamke bila kupiga game kwa miaka ile ya 70, ungeonekana joka la kibisa, lakini tofauti na miaka hiyo ya 70, siku hizi vijana hunachukulia mambo kistaarabu baada ya kujifunza kwa kuangalia tamthilia... vijana wa siku hizi wanaweza hata kulala kitanda kimoja na mwanamke bila hata kugusana... Si unajua vijana wa siku hizi mpaka kupasha kwa supu ya pweza, wakati enzi zetu ngoma ilikuwa inasongesha kwa nguvu zake naturally bila kutumia miundo mbinu...... LOL
 
Tangu lini mwanaume akaogopa kuchunwa?
Hebu toboa mfuko watu waseme nao.

Siku hizi mnachuna vibaya, hamrudishi hata chenji.....!
Enzi zetu unachunwa lakini baada ya wiki unaweza kurudishiwa chenji..... kwa kutumia mbinu ya kukopa..... LOL
 
...ina mana hata kidumu wa nje huna?
We mwanaume gani usiekuwa na sehemu ya dharura bhana!
Ah! Unawadharaulisha marijali wenzako Mtambuzi.
Au kuna aibu unaificha?
Madame B leo uko ndani shhhhhhhhhhh............tulia sitak tena kukuona hapa nje unazurua kungwi wao leo niko siriaz kikaz zaid
 
Last edited by a moderator:
black-couple-at-lunch-madame-noire-e1348545911944.jpeg

Mtoko wa kwanza huwa unawaweka wanawake katika wakati mgumu ukilinganisha na wanaume. Wakati wanaume kwao sio tatizo kubwa la kuwaumiza vichwa, kwa wanawake huwa wanajiuliza maswali mengi sana kuhusiana na huyo mtu anayekwenda kuonana naye.Hebu tuchulie mwanamke ametoka na mwanaume kwa mara ya kwanza kwa ajili ya kufahamiana na kuangalia kama anaweza kuwa na muafaka na mwanaume huyo kwa matarajio ya kujenga familia bora. Lakini kinyume chake anakutana na karaha hizi zifuatazo. Je kama ni wewe mwanamke unakabiliana na hali hii utafanyaje?

1. Unagundua kwamba mwanaume uliyetoka naye ana mke au ana mpenzi wake..

Baada ya kufika kwenye mgahawa kwa ajili ya kupata mlo wa usiku pamoja, katikati ya maongezi yenu mwanaume huyu anakushika mkono kama ishara ya upendo wakati mkiwa mmekaa mezani. Unapochunguza vidole vyake unagundua kwamba ana alama ya pete ya ndoa, unapomdadisi anakanusha, lakini baada ya kumbana sana anakiri kwamba anaye mke lakini ndoa yake ina vurugu na inalegalegakiasi kwamba siku oyote itavunjika. Au wakati wa maongezi yenu anakiri kwamba anaye mchumba wake, lakini hadhani kama atamfaa ingawa bado wako pamoja. Je utafanya nini?

2. Anakunywa kupindukia mpaka anashindwa kumudu mazungumzo…

Baada ya kupata mlo mnahamia kwenye baa ili kupata vinywaji kidogo kabla ya kuachana, mkiwa hapo baa, mwanaume huyo anakunywa pombe kupita kiasi mpaka anaashindwa kumudu mazungumzo na kuongea pumba tupu.

kweli mimi ningeshakimbia meza mapema 5 mnts inat
osha kujua kimeo hiki ni kusepa bila bye.

umeonaaaaaaaaaaaaaaaaa hilo mkuu
 
Namba 6 inahusika.
Na ndio maana % kubwa ya Mitoko ya Wanaume ni kwenye Bar zenye Guest
House au Hotel ambako wanaweza wakapata Chumba,wenyewe wanakwambia for
Emergency Case,hasa mkiwa mnatumia kilevi...!!!
Kumbe Wana sababu zao.
Nimemaliza.

Mwali umefikaje huku?
 
mhashimiwa sana Mtambuzi naomba nijibu maswali yako a, be na chee ooophs sorre swali no 1-10 kama ifuatavyo:

black-couple-at-lunch-madame-noire-e1348545911944.jpeg

Mtoko wa kwanza huwa unawaweka wanawake katika wakati mgumu ukilinganisha na wanaume. Wakati wanaume kwao sio tatizo kubwa la kuwaumiza vichwa, kwa wanawake huwa wanajiuliza maswali mengi sana kuhusiana na huyo mtu anayekwenda kuonana naye.Hebu tuchulie mwanamke ametoka na mwanaume kwa mara ya kwanza kwa ajili ya kufahamiana na kuangalia kama anaweza kuwa na muafaka na mwanaume huyo kwa matarajio ya kujenga familia bora. Lakini kinyume chake anakutana na karaha hizi zifuatazo. Je kama ni wewe mwanamke unakabiliana na hali hii utafanyaje?

kwanza kabisa napeeeeeeeeeeeeeeeeenda first date.... hapo ndipo pa kumsoma na kumjua mwenzio haswaaaaaaaaaaaaaa

1. Unagundua kwamba mwanaume uliyetoka naye ana mke au ana mpenzi wake..
Baada ya kufika kwenye mgahawa kwa ajili ya kupata mlo wa usiku pamoja, katikati ya maongezi yenu mwanaume huyu anakushika mkono kama ishara ya upendo wakati mkiwa mmekaa mezani. Unapochunguza vidole vyake unagundua kwamba ana alama ya pete ya ndoa, unapomdadisi anakanusha, lakini baada ya kumbana sana anakiri kwamba anaye mke lakini ndoa yake ina vurugu na inalegalegakiasi kwamba siku oyote itavunjika. Au wakati wa maongezi yenu anakiri kwamba anaye mchumba wake, lakini hadhani kama atamfaa ingawa bado wako pamoja. Je utafanya nini?

nitamwambia nashukuru kwa kuniweka wazi.....
huwa sidate married man..... we can only be friends, na kama hutaki urafiki wa kawaida kila mtu achukue time....
unajua Mtambuzi kuwa asilimia kubwa ya wanaume waliooa wanajidai wana mifarakano kwenye ndoa zao?
wengine huwa wanadai wako kwenye process za talaka, mwanamke ukiingia kichwa kichwa (hapa sizungumzii wanaochukua waume za watu ili kuwachuna) utajikuta unazeeka ndoa yake havunji sana sana akuzalishe tu....

nani anataka hizi shida?

2. Anakunywa kupindukia mpaka anashindwa kumudu mazungumzo…
Baada ya kupata mlo mnahamia kwenye baa ili kupata vinywaji kidogo kabla ya kuachana, mkiwa hapo baa, mwanaume huyo anakunywa pombe kupita kiasi mpaka anaashindwa kumudu mazungumzo na kuongea pumba tupu.

nitamshukuru muumba kwa kunifunilia, cha pombe nani anataka?
pombe anywe yeye karaha nipate mie?
kama anashindwa kujithibiti kwenye unywaji mangapi ambayo anakosa uthibiti? aiiii hafai

3. Anatumia muda wake mwingi kumzungumzia mpenzi wake waliyeachana..
Inawezekana katika mazungumzo yenu unamuuliza sababu ya kuachana na mpenzi wake wa zamani.. mwanaume huyo anatumia muda mwingi kumzungumzia mpenzi wake huyo na anaonyesha dalili za dhahiri kwamba ana m-miss

huyu wa hivi nikimpa mgonga tu hanioni tena, asahau kuhusu second date, tena ikiwa vipi nitamwomba udhuru kuwa kuna tatizo ghafla nisepe

4. Baada ya kupata mlo, tumbo lako linaleta kisirani Labda chakula ambacho umekula hapo mgahawani hakikupatana na tumbo lako, ghafla unapatwa na tumbo la kuhara kiasi cha kujikuta ukipiga trip kadhaa kwenda maliwatoni, mpaka mwanaume huyo anakuuliza kama una tatizo. Je ungejibu nini?

loh mambo ya aibu haya.........
sijui nitamjibuje mweh.....

5. Marafiki zake wanajiunga nanyi..
Wakati mnapata chakula na kuongea kwa bashasha, mwanaume huyo anapigiwa simu na marafiki zake ambapo anawaelekeza mlipo. Ghafla marafiki hao wanakuja na kujiunga nanyi kwa ajili ya kupata mlo mkiwa pamoja. Je ungefanyaje?

nitanunajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee???????
ila nitavumilia maana kupitia rafiki zake naweza kumsoma na kugundua mengi yaliyojificha...
ila tukitoka nitamwambia sijaenjoy, kutokana na mtoko kuvamiwa............(mweh ilishawahi kunikuta hii nilivimbaje, halafu ukute rafiki muongeaji hana nukta wala comma)
adhabu yake anitoe mtoko wa pili..hihihiiii

6. Anakuwa na shauku kubwa na mwili wako.
Wakati mkiendelea kupata vinywaji baada a kumaliza kula, mwanaume huyo anaanza kukushika shika mwili wako mara kwa mara hususan sehemu zako za faragha huku akikupiga mabusu motomoto kiasi cha kukukera. Je utafanya nini?

heeeeeeeeeeeeeeeeee?
first date?
hajui hata kama nitamkubali au kumkataa?
ebooooh?
akifanya maskhara anaweza kupokea ngumi....seriously, nitamwambia sipendi na sifurahishwi, na zaidi akiendelea nitaitoa na kuondoka, kidate tu hicho asidhani ndo kanipata eboooh tusikerane, 1st date ni siku makini sana, mwanaume akionyesha papara za namna hiyo ujumbe utaokuja ni kuwa anataka mwili wako tu hivyo kengele hulia mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kama kuna mwanaume anafanya hivi humu ndani aache, papara za nini?

7. Unagundua kwamba siye uliyemtegemea..
Mlipokutana kwa mara ya kwanza ulimuona alikuwa ni mwanaume mzuri wa sura na umbo, mpole kiasi, mcheshi, mwenye utani mwingi na mwenye uelewa mpana. Na hizo sifa ndizo zilizokuvutia kwa jicho la kwanza na ndio ikawa ni sababu kwako kukubali kutoka naye ili mpate kufahamiana zaidi. Lakini mkiwa hapo kwenye mghahawa unagundua kitu tofauti. Wakati wa mazungumzo yenu unagundua kwamba si lolole wala chochote. Jamaa ni mweupe hajui kujieleza ana ubishi usio na maana na anayependa kujikweza tofauti na hali aliyo nayo. Lakini pia unagundua kwamba ni mwongo na asiyepima uzito wa kauli zake. Kwa kifupi ni mropokaji…. Je ungefanyaje?

simple Mtambuzi keshajiondolea maksi huyu...

8. Mpenzi wako wa zamani mliyeachana kwa kisirani ni mjomba wake…!
Wakati wa mazungmzo yenu hapo mghahawani unagundua kwamba ni mwanaume mwenye muafaka na anayefaa kuitwa mume. Ni mtu ambaye mnaendana kwa kila kitu, ni msikivu na mwenye subira na asiye na papara. Lakini katika mazungumzo yenu kuhusu familia zenu unagundua kuwa mpenzi wako wa zamani ambaye mliachana miaka kadhaa iliyopita kwa vurugu kubwa na kuwekeana visasi ni mjomba wake. Huyo mjomba wake anaishi mkoa mwingine na ulikutana naye wakati ulipokuwa ukifanya kazi katika mkoa huo kabla ya kuacha na kuhamia mkoa mwingine. Je utafanya nini?

so sad...............
heri nimwambie ukweli mapema...
aamue kusuka ama kunyoa.....
kuliko kutunza siri ukakaa na mtu mwaka mzima siri ikitoka akuache, hapo nitakuwa nimepoteza mwaka mzima....
dawa ya tatizo ni kuliface

9. Kila kitu kinaenda kinyume na matarajio yenu…
Kuna wakati huwa tunakutana na visirani mpaka tunajiuliza tulikanyaga mdudu gani siku hiyo… Inaweza kutokea mpenzi wako kafanya booking ya meza kwenye mghahawa kwa ajili ya dinner, lakini mnapofika mnaambiwa meza yenu wamepewa watu wengine, mnaona kuliko kulalamika itakuwa ni kupoteza muda bure kwa kuwa maji yameshamwagika. Mnaamua kwenda katika mghahawa mwingine, lakini kwa mshangao mnakuta napo pamejaa, manaanza kuingia mghahawa mmoja baada ya mwingine lakini kote mnakuta kumejaa. Je mtaahirisha au mtaamua kwenda nyumbani kwa mmoja kati yenu kwa ajili ya kuendelea na mtoko wenu?

come on Mtambuzi....
haiwezekani migahawa yote ikawa imejaa....
kuliko kwenda nyumbani kwake heri tutafute mahala tule kitimoto....

10. Unagundua kwamba pamoja na kuwa na mwili mkubwa kumbe jamaa ni mdogo sana kiumri ukilinganisha na umri wako…
Kuna watu wamejaaliwa kuwa na miili mikubwa, ukilinganisha na umri wao. Hiyo iko kote kote, si kwa wanawake wala wanaume. Kwa mfano inatokea mwanaume uliyetoka naye wakati wa mazungumzo yenu unakuja kung’amua kwamba umri wake ni mdogo sana tofauti na muonekano wa mwili wako. Mwanaume huyu anazo sifa muafaka za kuweza kuitwa mume, lakini umri umemzidi sana kiasi cha miaka mitano. Je utaendelea kuwa na uhusiano naye au utajitoa mapema…?.”

umri kitu gani bwana wee...
kama nimempenda nitaendelea nae tu...mradi na yeye aridhie tu...

[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
kha! Na itabidi, ila piga casual, maswala ya kunivalia suti over bekham,af unaongea kama mwehu mpyampya me apan'taka!! Lol

Ok nitavaa kanzu na kibarghashia.... Nitapendezaje.....LOL
lakini duh, leo umenipata kisawasawa, hakika wewe ni chiboko wallahi........
 
mhashimiwa sana Mtambuzi naomba nijibu maswali yako a, be na chee ooophs sorre swali no 1-10 kama ifuatavyo:

kwanza kabisa napeeeeeeeeeeeeeeeeenda first date.... hapo ndipo pa kumsoma na kumjua mwenzio haswaaaaaaaaaaaaaa

nitamwambia nashukuru kwa kuniweka wazi.....
huwa sidate married man..... we can only be friends, na kama hutaki urafiki wa kawaida kila mtu achukue time....
unajua Mtambuzi kuwa asilimia kubwa ya wanaume waliooa wanajidai wana mifarakano kwenye ndoa zao?
wengine huwa wanadai wako kwenye process za talaka, mwanamke ukiingia kichwa kichwa (hapa sizungumzii wanaochukua waume za watu ili kuwachuna) utajikuta unazeeka ndoa yake havunji sana sana akuzalishe tu....

nani anataka hizi shida?

nitamshukuru muumba kwa kunifunilia, cha pombe nani anataka?
pombe anywe yeye karaha nipate mie?
kama anashindwa kujithibiti kwenye unywaji mangapi ambayo anakosa uthibiti? aiiii hafai

huyu wa hivi nikimpa mgonga tu hanioni tena, asahau kuhusu second date, tena ikiwa vipi nitamwomba udhuru kuwa kuna tatizo ghafla nisepe

loh mambo ya aibu haya.........
sijui nitamjibuje mweh.....

nitanunajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee???????
ila nitavumilia maana kupitia rafiki zake naweza kumsoma na kugundua mengi yaliyojificha...
ila tukitoka nitamwambia sijaenjoy, kutokana na mtoko kuvamiwa............(mweh ilishawahi kunikuta hii nilivimbaje, halafu ukute rafiki muongeaji hana nukta wala comma)
adhabu yake anitoe mtoko wa pili..hihihiiii

heeeeeeeeeeeeeeeeee?
first date?
hajui hata kama nitamkubali au kumkataa?
ebooooh?
akifanya maskhara anaweza kupokea ngumi....seriously, nitamwambia sipendi na sifurahishwi, na zaidi akiendelea nitaitoa na kuondoka, kidate tu hicho asidhani ndo kanipata eboooh tusikerane, 1st date ni siku makini sana, mwanaume akionyesha papara za namna hiyo ujumbe utaokuja ni kuwa anataka mwili wako tu hivyo kengele hulia mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kama kuna mwanaume anafanya hivi humu ndani aache, papara za nini?

simple Mtambuzi keshajiondolea maksi huyu...

so sad...............
heri nimwambie ukweli mapema...
aamue kusuka ama kunyoa.....
kuliko kutunza siri ukakaa na mtu mwaka mzima siri ikitoka akuache, hapo nitakuwa nimepoteza mwaka mzima....
dawa ya tatizo ni kuliface

come on Mtambuzi....
haiwezekani migahawa yote ikawa imejaa....
kuliko kwenda nyumbani kwake heri tutafute mahala tule kitimoto....

umri kitu gani bwana wee...
kama nimempenda nitaendelea nae tu...mradi na yeye aridhie tu...

[/QUOTE]
BADILI TABIA yaani hapo umejibu vizurije, yaani hapo mia ya mia.......
Kuna swali nitakuuul;iza baadae, ngoja nakunywa kahawa kwanza.........LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom