Mwanamke ukiona unatongozwa basi umedharaulika na sio unapendwa

hannibali

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
468
427
Habari za muda huu wanajf poleni kwa majukumu na itoshe kusema kwamba ndio maisha hayo::

Sasa niende kwenye mada, kuna suala moja ambalo wengi hawalijui na itakuwa vizuri kueleweshana hapa ili kila mtu apate kuelewa.

Mwanamke ukiona unatongozwa basi moja kwa moja umedharauliwa kwa kiwango kikubwa sana na sio kama unapendwa kama wengi wanavyoamini. Kwanini- kwa sababu mwanaume always anapata confidence ya kutongoza kwa mtu ambaye amemdharau, hii principle ni kama mashuleni tulipopitia kwenye section B ambako kuna maswali ya options unaambiwa jibu maswali mawili katika maswali matatu.

Hapa mtu huacha swali ambalo analiona kabisa hana uwezo nalo na hawezi kulipata hata mbingu ishuke..ataelekea kwenye maswali anayoyaona kwake lonyolonyo aliyoyadharau..huo ulikuwa mfano mdogo sasa hebu fikiria haujawahi kuona mtaani kwenu kuna mdada ambaye anaweza asiwe mzuri lakini tu ana vipesa kidogo na hata kigari kidogo cha kuzugia halafu nyie mnajiuliza pale kitaa hamjawahi kumuona kwenye mahusiano au mnamuona anatoka na watu kutokea mbali kabisa..ushawahi kujiuliza kwanini? Haya fanya kama unajiuliza sasaivi.

My take: Ishu zinazohusiana na mahusiano au mapenzi siku zote zinakujaga automatically hakunaga kutongozana na ukiona umetongozwa basi ujue kuna elements za dharau zimetembea sana juu yako

IMG_20200730_182258.jpeg
 
Kwahiyo vijana wakitaka kuoa wamwite tu shekhe au kasisi waende nyumbani kwa mwanamke bila taarifa alafu wanaondoka na mke!!!
Umeielewa mada vizuri? Mahusiano yasiyo na dharau hayaji kwa kutongozana ukiona ulitongozwa hata kama umeolewa basi ujue ulidharaulika kwanza
 
MPIGA PUCHU mkubwa ww eti mapenz yanakuja automatically ndio hii midomo zege unakuta limekaa na demu mwezi mzima bado halijamwambia kitu fala ww
 
Wakati mwingine uwe unaficha ujinga wako mkuu, ni nzuri kwa afya ya ubongo wako.
 
Back
Top Bottom