Mwanamke ni chanzo cha matatizo duniani?!

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Mwanamke ni Matatizo.jpg

Wasichana ni mashetani.jpg
Wataalam wa hesabu wanatuthibitishia hapa!
 
Kama vipi katengeneze cha kwako cha udongo....achana na maudhi ya wanawake!!
 
Fuatilia kila tatizo duniani behind lazima utakuta kuna mkono wa mwanamama!
Dreva alipata ajari kisa alichelewa kwa nyumba ndogo uku lorry kalipaki kwa barabara akidhani apate short time mdada si kloweka nguo!
Kutahamaki ni asbi na akakuta missed calls kama 8 za bosi wake.
Alipotroka apo alitoka speed moja mbaya ili awai fika na kufidia mda ulipotea na mzigo ulikuwa wa transit akaishia kupata ajari na kufa
 
hivi tulizaliwa na aki nani? Huyo Adam si alijipeleka mwenyewe kwa Bw GOD ooooOOOO niongezee mwenza, kuja kuambiwa kuna kuzaa kwa uchungu kakimbia hiyo hesabu ni ya Kihindi nusu naikubali ila wacha wenyewe waje maana mm nawaona huku hata wawe WAHESHIMIWA popote iwe Mnadani au CHAKo ni CHAKO wanaume ndo viherehere kutoa pesa za vunywaji na kuku wakati unaweza kuta uliye nae mkoba umejaa wa kukununua ww.Mwisho ni viumbe vyote hata jogoo mpaka amdanganye tetea kuwa atamshonea suruali, Beberu la mbuzi litapiga zizi zima kwa hiyo KIUMBE MWANAMKE SIO CHANZO CHA MATATIZO
 
lkN ROHO YANGU INANIUMA SANA KUKUBALI KWAMBA MAMA YANGU NDO CHANZO CHA MATATIZO!!
 
Wote tunategemeana ktk kuleta matatizo duniani.
Tungekuwepo peke yetu yasingekuwepo, also mngekuwa peke yenu vivyo hivo.

Kwa hiyo problems come when both fail to understand each other na kuchukuliana. And also pale unaposhindwa kuwa na your match ktk daily life.
 
Fuatilia kila tatizo duniani behind lazima utakuta kuna mkono wa mwanamama!
Dreva alipata ajari kisa alichelewa kwa nyumba ndogo uku lorry kalipaki kwa barabara akidhani apate short time mdada si kloweka nguo!
Kutahamaki ni asbi na akakuta missed calls kama 8 za bosi wake.
Alipotroka apo alitoka speed moja mbaya ili awai fika na kufidia mda ulipotea na mzigo ulikuwa wa transit akaishia kupata ajari na kufa
Kosa la mwanamke liko wapi hapo, kwani aliyemtongoza mwenzie nani? huyo mwanamke ana nguvu gani za kumlazimisha mwanaume asiende kwake?

Tatizo ni njaa zenu za macho mnajikuta mmeangukia pua na chaguo lisilo sahihi juu, ukipata chaguo sahihi yote ullioandikiwa na mola wako, hayo yote uliyoandika hapo juu ni uwongo mtupu.

Uliza uambiwe, wenzako tunaedelea mbele sababu ya haohao wake zetu wewe unatuambia wana matatizo. Kumbuka kila nyuma ya mwanaume aliyefanikiwa kuna mwanamke mwenye busara, wako yukoje? jipime mwenyewe kama unafaa kuandika hayo uliyoandika kwa niaba ya wanaume wote.
 
Back
Top Bottom