sr bachelor
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,198
- 797
Hahahah kimpa kinyemi sr bachelor
Nipo bana vp mzima aise
Hahahah kimpa kinyemi sr bachelor
Nimepaona mamii..na nimepapenda sana..Awwww ndio dada ilikua siri siku nyingi sijakuambia sasa huyu ndo anaenipa jeur ya mjini nimekufa nimeoza
sr bachelor usione hapa tafadhali
Ni kweli mazoez muhimu na raha ya ile kitu n.ushirikiano pia sio ukiguswa umenyooka kama fito wala hutikisiki ila wapo ambao hawafanyi mazoez but wanamud sana mchezo hivyo pia ni ufundi wako tu
:glasses-nerdy: uko kundi gani wafanya mazoezi au wanaomudu au wanaonyooka ka fito?
Nimepaona mamii..na nimepapenda sana..
Nipo bana vp mzima aise
Hehee mazoez huwez amin sifanyi ila namudu kila mziki nacheza
usijali malkia huyo atakuwa shem wangu tuHoney usimzoee huyo sana nina wivu ati
Hehee mazoez huwez amin sifanyi ila namudu kila mziki nacheza
Ufundi tu dah ilitakiwa iwe karanga nionjeshwe lakini...ahh basi tu naogopa manundu
hadi tigo????
usijali malkia huyo atakuwa shem wangu tu
Hadi mzee wangu yuko mguu pande mara mguu sawa plz dada kama vp hujaolewa twambiame me na phd ya mahaba.
Hadi nimedindisha plz dada kama vp hujaolewa twambiame me na phd ya mahaba.
Kwa asilimia kubwa sana yale ambayo yanafanywa kwenye hiyo "mikanda" hayafanyiki huku uswazi na kwenye maisha ya kawaida kwasababu hayaendani na maisha halisi
Ukiangalia kuanzia viungo vya siri hadi style zinazotumika humo huwezi kuzifanya kwenye hali halisi,kwanza viungi vya siri hasa vya kiume vingi vimetengenezwa maalum kwa shughuli hizo na huwa ni vikubwa kuliko vya kawaida,huku kwenye uhalisi hakuna mwanamke ambae anapenda hivyo viungo vya ukubwa huo,haya mambo ya ukubwa ni huku kwenye mitandao na kwenye filamu
Style ambazo zinatumika humo nyingi hazitumiki au haziwezekaniki kabisa kwasababu zinahitaji mazoezi hasa na uwe umeyaanzia utotoni na sio ukubwani,wengi wetu wanaume na wanawake wa huku Bongo hayo mambo ya mazoezi tumekuta ukubwani tu hivyo huwezi kuyaleta mambo ya kwenye filam kwenye maisha halisi
Kama unawashauri watu wafanye mazoezi kwaajili ya afya zao sawa,lakini kama unataka kuwaaminisha bila mazoezi huwezi kupata raha ya ngono hapo utakuwa umeongopa!
Ahhhha ndo bas tena haiwezekani