Mwanamke msaidie mumeo mahari apate mke mwingine

Ukiwenza si uadui kama mnavyothaminishwa na jamii. Ni bora uke wenza kuliko kutokuwa na ndoa kabisa.

Vijana wakike na wakiume tusaidiane kwa pamoja kutokomeza uzinzi na uesherati kwa kukaribishana katika ndoa.

We binti wa kike ukimuona mwanamke mwenzio ambaye hana ndoa hebu jaribu kumshawishi mumeo amuoe ili naye nusra ya dini. Ikiwezekana msaidie hata mahali.

Tuishinde zinaa kwa pamoja

Naomba kuwasilisha.

View attachment 2794959
Ndivyo walivyofanya wa Maasai zamani hata sasa, wao huwachagulia waume zao wake tena dogo dogo, hivi Wamaasai ni wametokea Uarabuni?
 
Kwa hiyo mtu asipooa na wala hazini anapata dhambi? Kama mtu asipovaa hijab?
M nimesema watu mtu anapata dhambi?

Kuvaa hijabu ya kisheria ni lazima kwa mwanamke ndo mna mnadhalilishwa huko mitaani kwa kuweka mambo yenu hadharani
 
Mimi mwenye elimu najua haki zangu na haki za mume wangu....najua mipaka ya haki na majukumu baina yetu.....siburuzwi Kwa hadith dhaifu na nadharia za kidarwesh....upo?

Halafu Nani anataka umasikini? Mtume mwenyewe kasema "ufakiri ni nusu ya ukafiri" Masikini hana dini, Hana msimamo.....ndo ukaona starehe anayoijua ni hiyo ya ngono tu
Mamy k una piga pini kweli kwel
 
Kuoa wake wengi ni faida kwa mwanaume sasa mkeo akiwa P na ww upo P ?
Mkeo akijifungua na ww unakaa likizo ya uzazi hhhhhhhhhh dah Muumba ana hekma sana katika hili
Wewe huna maisha mengine zaidi ya kutiiiana tu? Siku 3 za MP wewe unapata kichaa🤣🤣
Mweupe sana wewe, Nenda kasome mapokeo ya Aisha (r.a) uone Mtume alivyokuwa anacheza nae, kumkumbatia na kuoga nae wakati akiwa MP🤣🤣🤣
Wewe ahl Sunna wa bonyokwa unawaza kukimbia mke uende Kimboka ukaoe🤣🤣🤣🤣

Halafu watoto wa kiislamu wakiwa panyarowd mnalia lia, badala ya kishiriki malezi ya mwanao kuanzia utotoni umfunze tabia na malezi....mke anajifungua wewe unaenda kusaka nyuchi....mwisho mtoto analelewa na ulimwengu.....wanaume Kama wewenautia aibu uislam🤣🤣🤣
 
Nyie ndo mnatukanisha uislamu unaonekana dini ya ngono ngono tu....Kwa hiyo ndoa ni ajira au?

Badala ya kuwaza hao wanawake wawezeshwe wapewe elimu, wapewe mitaji na elimu ya biashara....mnawaza kuwatii...

Eti mke asaidie mahari, asaidie mumewe akachovye kwingine, halafu arudi achovye kwake🤣🤣🤣 Wewe ungeweza hata kumpa mkeo nauli akachovywe kwingine?!!

Badala ya kuwaza mke achangie mtaji mfungue kampuni na biashara unawaza uchi....
Unabishana na imam?
 
Wewe huna maisha mengine zaidi ya kutiiiana tu? Siku 3 za MP wewe unapata kichaa🤣🤣
Mweupe sana wewe, Nenda kasome mapokeo ya Aisha (r.a) uone Mtume alivyokuwa anacheza nae, kumkumbatia na kuoga nae wakati akiwa MP🤣🤣🤣
Wewe ahl Sunna wa bonyokwa unawaza kukimbia mke uende Kimboka ukaoe🤣🤣🤣🤣

Halafu watoto wa kiislamu wakiwa panyarowd mnalia lia, badala ya kishiriki malezi ya mwanao kuanzia utotoni umfunze tabia na malezi....mke anajifungua wewe unaenda kusaka nyuchi....mwisho mtoto analelewa na ulimwengu.....wanaume Kama wewenautia aibu uislam🤣🤣🤣
Mamy K, umeupiga mwingi sana 😂😂😁😁😀😀 piga spanner wapenda nyuchi wote kwa kisingizio cha sunna.
 
Kwa hiyo mtu asipooa na wala hazini anapata dhambi? Kama mtu asipovaa hijab?

Yaani kuoa wake wanne wanne ni amri ya lazima, na usopooa wake wanne unapata dhambi?

Hebu wewe Msomi ziweke hapa Aya za ndoa na hijab halafu tuzichambue Kwa mantiki.....somo ambalo limekupitia kushoto, we umesoma kukariri tu

Haya Kama kila Sunna ni Sunna....kanunue ngamia utembelee badala ya gari.....

Uislamu ni dini inayoenda na wakati, katika ulimwengu huu uliojaa maradhi, HPV na Cancer mnawalazimisha wanawake kushare, tena Kwa kuchangia mahari
Acha ubishi kuoa au kuolewa ni kitu cha razima ili kujiepusha na zinaa,mtu akioa na akaendela kuzini hiyo ni juu yake.

Binadamu aliye kamilika na ambaye amesha balehe hawezi ishi bila kufanya ngono akiwemo ww hapo.

Ndoa ni kitu kikubwa sana ndani ya uislam na ndio maana mtume ali ipa hadhi ya nusu ya dini hivi unajuwa thamani ya nusu ya uislam ni thamani kuasi gani?

Dini inasema ni ruhusa kwa mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja ww ni nani mpaka upinge?

La msingi ukitaka kuongeza mke hakikisha una vigezo vyote vinavyo kuruhusu kuoa huyo mke wa pili kwa mujibu wa dini na sio kutumia kigezo hicho kuoa watoto wa wawatu kilholela holela na kuwatelekeza ,ukifanya hivyo jua una cha kujibu mbele ya mwenyezi mungu.
 
Mamy K, umeupiga mwingi sana 😂😂😁😁😀😀 piga spanner wapenda nyuchi wote kwa kisingizio cha sunna.
Namsubiri arudi nimfunde Kwa sunnah jinsi ya kuishi na mke akiwa MP🤣🤣🤣 Hata hajasoma bedroom ya mtume ilikuwaje anataka kukimbilia mindoa🤣🤣🤣

Hawa wanafanya wanawake wa kiislamu wajione dhalili, wakiambiwa uislam unamnyanyasa mwanamke wanaamini.....kumbe uislam umekuja kumpa mwanamke haki zake.....wawaonee hao wasio na elimu ya dini, waliokaririshwa🤣
 
Acha ubishi kuoa au kuolewa ni kitu cha razima ili kujiepusha na zinaa,mtu akioa na akaendela kuzini hiyo ni juu yake.

Binadamu aliye kamilika na ambaye amesha balehe hawezi ishi bila kufanya ngono akiwemo ww hapo.

Ndoa ni kitu kikubwa sana ndani ya uislam na ndio maana mtume ali ipa hadhi ya nusu ya dini hivi unajuwa thamani ya nusu ya uislam ni thamani kuasi gani?

Dini inasema ni ruhusa kwa mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja ww ni nani mpaka upinge?

La msingi ukitaka kuongeza mke hakikisha una vigezo vyote vinavyo kuruhusu kuoa huyo mke wa pili kwa mujibu wa dini na sio kutumia kigezo hicho kuoa watoto wa wawatu kilholela holela na kuwatelekeza ,ukifanya hivyo jua una cha kujibu mbele ya mwenyezi mungu.
Wapi nimepinga? Nipe ushahidi wa Aya kuwa mtu asipooa wala kuolewa anapata dhambi....tena unipe na ya nyongeza kuwa usopooa wake wawili, watu hadi wanne unapata dhambi.

Kisha ulete dalili kuwa hiyo Aya ya ndoa ni direct command Kama Aya ya hijab.

Halafu ahl Sunna wa Bonyokwa mnajisahaulisha kuwa kuishi na mke mmoja pia ni sunnah🤣🤣🤣 Mtume aliishi na Bi Khadija miaka mingapi bila mitala🤣🤣🤣🤣 Hiyo hamuizungumzagi🤣
 
Unabishana na imam?
Imam anazingua, katika madhambi yote kakomaa kusolve hilo la zinaa....dhambi ambayo mtu ana utashi wa kufanya au asifanye🤣

Ya riba hajayaona, hajawaza kuokoa ulimwengu na riba ambazo zinazidi kutamalaki mitaani.....like kuanzishwe benki za kiislamu, vianzishwe vikundi/vikoba watu wakopeshane bila riba, wachangiane mitaji.....ukute yeye mwenyewe hapo anadaiwa kausha damu🤣🤣

Au riba haijaharamishwa? Hawa kausha damu hawaoni, anaona makahaba tu🤣🤣🤣
 
Ngoja mke wangu aione hii 😂😂, vita kuu ya 3 ya dunia. 😂😂
Mke wangu pita huku, majibu utanipea nyumbani..
 
Back
Top Bottom