Mwanamke msaidie mumeo mahari apate mke mwingine

Mohamedex121

JF-Expert Member
Jan 27, 2022
1,688
3,142
Ukewenza si uadui kama mnavyothaminishwa na jamii. Ni bora uke wenza kuliko kutokuwa na ndoa kabisa.

Vijana wakike na wakiume tusaidiane kwa pamoja kutokomeza uzinzi na uesherati kwa kukaribishana katika ndoa.

We binti wa kike ukimuona mwanamke mwenzio ambaye hana ndoa hebu jaribu kumshawishi mumeo amuoe ili naye apate nusra ya dini. Ikiwezekana msaidie hata mahari.

Tuishinde zinaa kwa pamoja

Naomba kuwasilisha.

IMG_20231027_205018.jpg
 
Nyie ndo mnatukanisha uislamu unaonekana dini ya ngono ngono tu....Kwa hiyo ndoa ni ajira au?

Badala ya kuwaza hao wanawake wawezeshwe wapewe elimu, wapewe mitaji na elimu ya biashara....mnawaza kuwatii...

Eti mke asaidie mahari, asaidie mumewe akachovye kwingine, halafu arudi achovye kwake🤣🤣🤣 Wewe ungeweza hata kumpa mkeo nauli akachovywe kwingine?!!

Badala ya kuwaza mke achangie mtaji mfungue kampuni na biashara unawaza uchi....
 
Sasa mume pesa ya mahari Hana, ndo ataweza kutunza wake?

Halafu maisha mafupi kwa mwanaume tu, Kwa mwanamke ni marefu? Kama ni rahisi mruhusu mkeo siku moja akabadili miguno huko nje, aliwe Hadi mifupa.

Hapo ulipo hukuti sala tano hutimizi, Ramadhan hufungi, Hata umra manake Hija mbali hujawahi kwenda....halafu unawaza nyuchi🤣🤣🤣 Zikushinde faradhi ukimbilie Sunna🤣🤣🤣
 
Na wewe huko kubadili nyuchi ndo umekuwa Mo? Mnawakutaga wanawake wa kiislam wasio na elimu mnawaburuza....
Sasa mume pesa ya mahari Hana, ndo ataweza kutunza wake?
Hivo nimekuuliza wewe unotaka utajiri

Wewe mwenye Elimu umefanya lipi la maana?
 
Ukiwenza si uadui kama mnavyothaminishwa na jamii. Ni bora uke wenza kuliko kutokuwa na ndoa kabisa.

Vijana wakike na wakiume tusaidiane kwa pamoja kutokomeza uzinzi na uesherati kwa kukaribishana katika ndoa.

We binti wa kike ukimuona mwanamke mwenzio ambaye hana ndoa hebu jaribu kumshawishi mumeo amuoe ili naye nusra ya dini. Ikiwezekana msaidie hata mahali.

Tuishinde zinaa kwa pamoja

Naomba kuwasilisha.View attachment 2794959
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ivo nimekuuliza ww unotaka utajiri

Ww mwenye Elimu umefanya lipi la maana?
Mimi mwenye elimu najua haki zangu na haki za mume wangu....najua mipaka ya haki na majukumu baina yetu. Siburuzwi Kwa hadith dhaifu na nadharia za kidarwesh....upo?

Halafu Nani anataka umasikini? Mtume mwenyewe kasema "ufakiri ni nusu ya ukafiri" Masikini hana dini, Hana msimamo ndo ukaona starehe anayoijua ni hiyo ya ngono tu🤣
 
Mimi mwenye elimu najua haki zangu na haki za mume wangu....najua mipaka ya haki na majukumu baina yetu.....siburuzwi Kwa hadith dhaifu na nadharia za kidarwesh....
Hhhhhhhhhh unajikuta umesomaaaa

Haya nipe iyo hadithi uloitaja kuanzia sanadi yake mpaka mpokezi wake tuone kama kweli umesoma
 
Swadakta ila kabla sijakufanyia huo mpango wa uoe mke wa pili je unani tosheleza sangine nguvu za chips mayai unataka kuongeza matumizi mengine akati mimi tu peke yangu hunitoshi


 kuoa ni nusu ya dini,ni sunna pia
Allah ajaalie kheri tuepukane na zinaa


KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI MUFILISI
NDOA NI GEREZA

CC: dronedrake
 
Hhhhhhhhhh unajikuta umesomaaaa

Haya nipe iyo hadithi uloitaja kuanzia sanadi yake mpaka mpokezi wake tuone kama kweli umesoma
Muhimu ni hadithi sahihi Sawa? Kuhusu usomi wangu twende jukwaa la dini, hapa Leo nawasanua wanaume wapenda ngono wanaotumia kivuli cha dini kuichafua na kumchafua Mtume wetu kipenzi.

Hivi unajua mtume alioa wanawake wengine hakulala nao?

Na Kwa utaratibu wa kale watu walitumia ndoa kutafuta influence ya jamii mbali mbali....ndo ukaona watawala, wafalme walioa huku na kule, kuunga udugu na kutafuta influence...so as Muhammad (s.a.w) did.

Sasa wewe hata ujumbe wa nyumba kumi huna unataka kujirundikia nyuchi....huku huwezi kuzitunza....mke anavaa jilbab moja miakaa.....au ndo unatembelea Ile hadith dhaifu maisha yakiwa magumu ongeza mke🤣🤣🤣🤣
 
Ukiwenza si uadui kama mnavyothaminishwa na jamii. Ni bora uke wenza kuliko kutokuwa na ndoa kabisa.

Vijana wakike na wakiume tusaidiane kwa pamoja kutokomeza uzinzi na uesherati kwa kukaribishana katika ndoa...
Naunga mkono hoja 💯💯💯
 
Muhimu ni hadithi sahihi Sawa? Kuhusu usomi wangu twende jukwaa la dini, hapa Leo nawasanua wanaume wapenda ngono wanaotumia kivuli cha dini kuichafua na kumchafua Mtume wetu kipenzi...
Nilikua nakuangalia tu kumbe mbumbumbu tu huna ulijualo kwenye dini yako hlf kelele nyingiii ety mimi najua hadithi dhaifu kwanza hiyo hadithi uloitaja haipo na kama huamini niletee kitabu kimoja tu chenye hio hadithi

Halafu eti anazungumzia ujumbe wa nyumba kumi? Khaaa yaani we mwanamke kweli ni hamnazo kwamba mjumbe wa nyumba kumi ana mshahara gani wa kulisha wake wa4?

Wewe ni mwanamke mbinafsi, mchoyo huna huruma na wanawake wenzio jiulize usingeolewa ingekuaje? Allah kaweka hizi ndoa za wake wa4 kwa maana yake sasa ww unakataa nn?

Je, unapenda watu wanavouza miili yao kisa hawana waume?

Kwani mwanamke mwenzako akistiriwa utapungukiwa nn ww?

NB: Kwenye dini yako ni mtupu kabisaaaa tafuta darsa ukasome haswaa acha kuendekeza dunia hii hivi utajiskiaje unaulizwa na mola wako kwanini hujasoma dini utamjibu kua nilikua na kampuni ndo ilonifanya nisisome dini! Jitafakari dada angu
 
Back
Top Bottom