Mwanamke jiandae kwa tendo la ndoa kwa kufanya haya

Mr Alpha

JF-Expert Member
Jul 31, 2018
218
595
1. Mwanamke hakikisha tunda safii na limelimwa majani sio msitu mnene, huo ni uchafu pia.

2. Piga mswaki kabla ya tendo ili kuondoa harufu mbaya, mdomo utakuwa fresh.

3. Vaa nguo zako za mitego mitego kwaajili ya kumvutia mumeo. Nguo hizo ni kama night dresses kama mfano wa zilizotangukia hapo juu au unaweza kuvaa kanga laini, mtandio laini unaoonesha hadi ndani nk.

4. Jipake manukato mazuri mwilini mwako yasiokera kwa harufu kali au waweza jifukiza udi.

6. Mmeo akirudi mpokee kwa busu kisha mpelekee maji bafuni, andaa chakula. Akirudi mkaushe maji nae umpake manukato kisha avae msuli au pensi. Baada ya kula muombe apige mswaki kuondoa mabaki ya chakula kinywani na haru mbaya.

8. Panda kitandani uwe hata na pipi vile mdomoni raha mdomo unukiee vizuriii, hakuna kitu kinaudhi kama uko na mmeo kitandani anatoa harufu mbaya mdomoo au wewe kutoa harufu mbaya.

9. Tia mapambo ya kumvutia mumeo kama shanga, hereni, mkufu, wanja na kipini cha pua basi msubiri umchokoze na penzi murua.

10. Andaaneni na kuamsha hisia zenu mkiwa mnapeana haki kwa mikao tofauti kama vile DOGY STLY, KIBAO CHA MBUZI, KIFO CHA MENDE, MBUZI KAGOMA, CHUMA MBOGA huku vitaulo na maji ya uvuguvugu vikiwa karibu ili kujifuta baada ya tendo.
 
Nashangaa upumbavu alioandika mtoa mada🤣
FB_IMG_17154489212580962.jpg
 
Kwa nini apige mswaki ndugu?
Kwani mswaki nao unajitambua mpaka ipigwe?
 
Sasa wale wanaopenda kuipiga kuanzia mlangoni hapohapo wakitokea kazini sa itakuwaje! Umeandaa maji akifika mkaoge wote….amefika sasa umpokee unashangaa kakudaka vifurushi kavitupia huko mara kakuinamisha kimtindo kabenua kinguo juu kichup pembeni….dudu yenyewe kaitolea kwenye zipu…..then ndo anaanza uliza kama umemuandalia maji tusio na mabomba ya kisasa bafuni…..inahitaji moyo sana….Kataa ndoa wanapointi😔
 
Back
Top Bottom