Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,712
Taarifa hii niliikuta inaishia lakini nilibahatika kupata kujua kilichotokea,ila sikujua eneo unyama huu,kuna mwanamke amemnyonga mwanae baada ya baba wa mtoto huyo kumkataa huyo mtoto kuwa wake!Nashindwa kujua huyu mwanamke kama ni mzima,pia sijajua kama amekamatwa ama laa!Yani wanawake hawa,basi tu!!