Mwanamke anakulipia hela ya kunyoa, halafu anakwambia kuhusu kukaribia kuisha kwa kodi yake ya pango

ila hili swala wanaume tunali'exaggerate' sana mwanamke inategemea na kipato chake kama ni cha chini na umekubali kuwa nae msaidie mahitaji yake tu, huyo anayekupa ya vocha angekuwa vizuri angekupa zaidi ya hiyo, ila km anazo afu ndo pigo hizo basi huyo ni selfish hafai hata kwa urafiki achilia mbali mahusiano, shida tunakimbilia wenye wanaonekana mambo safi kumbe ni selfish ndo mwanzo wa kukutana na mizinga. be wise on your choice ila chonde chonde KATAA NDOA YA KWENYE MAKARATASI
 
Back
Top Bottom