Mwanamke anahitaji kuliko mwanaume??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Wakati mwingine ni vigumu sana kwa wanawake kufahamu ni kiasi gani hamu ya kufanya mapenzi ilivyo kwa mwanaume.
Ingawa wanaume hutofautiana katika kiwango cha hamu ya mapenzi bado wanaume wanaonekana wapo juu katika hamu ya mapenzi kuliko wanawake.
Wataalamu wa masuala ya mapenzi (sex) wanasema kwamba mwanaume ni mtu wa mzunguko wa siku tano ( kwa maana kwamba huhitaji sex kila baada ya siku tano) na wakati huohuo mwanamke ni mtu wa mzunguko wa siku kumi ( kwa maana kwamba huhitaji sex kila baada ya siku kumi), kuna kaukweli fulani katika hili.
Hata hivyo kuna wanaume wengi sana hasa vijana wao hupenda kupata sex ikiwezekana kila siku na pengine wangependa iwe zaidi ya hapo kama miili yao ingeruhusu.
Je, hii ina maana gani kwako mwanamke?
Hii ina maana kwamba mume wako anapenda sana sex.
Pia anawaza sana kuhusu sex kila mara kuliko wewe unavyowaza kuhusu sex.
Haijalishi ni gentle and romantic kiasi gani lakini mwisho wa siku anachowaza ni kufanya sex na wewe.
Kwa kuwa ana drive kubwa ya sex kuliko wewe na anajisikia kufanya mapenzi na wewe, ukimzungusha anaweza kuchukua risk kubwa sana ya masuala ya sex bila kujali consequences zitakazompata (kutokuwa mwaminifu kwako, kulipa fedha apate sex nk).
Pia fahamu kwamba mwanaume humpenda mwanamke kwa mtindo wa vipande vipande kwa maana kwamba anaweza kuvutiwa na namna mwanamke anaonekana sura yake, miguu yake, matiti yake, meno yake akicheka, kiuno chake, makalio yake na wakati mwingine hata perfume ambayo mwanamke amejipiga.
Hivyo basi kama wewe ni mwanamke unasoma hapa hata siku moja usitanie kuhusu nguvu aliyonayo mume wako kuhusu sex.
Unatahadhalishwa!
 
Kwa kuwa ana drive kubwa ya sex kuliko wewe na anajisikia kufanya mapenzi na wewe, ukimzungusha anaweza kuchukua risk kubwa sana ya masuala ya sex bila kujali consequences zitakazompata (kutokuwa mwaminifu kwako, kulipa fedha apate sex nk).

Wanaume kwa kutaka kuhalalisha infedlity............hawajambo.
 
ivi SI unit ya sex ni ip?
kuna kipimo mahusus cha sex?ili tujue i 264/60 its normal ...i 56/9 isnt normal...mwenzenu kilaza naomba mnisaidie...lakin ndg mwenyekit i do agree awa akina JUMA WANAPENDA SANA MCHEZOMBAYA KUSHINDA AKINA ASHA....heri yangu mi nonsex...wanaitwaje vile...non gender...ehh jaman non she o he? ..yes ivo ivo....:phone:
 
Oh, dear, kumbe unit unaijua bali unataka quantity tu!

1 Juma = 2 Asha
according to you + maelezo ya mleta mada:

(Wataalamu wa masuala ya mapenzi (sex) wanasema kwamba mwanaume ni mtu wa mzunguko wa siku tano ( kwa maana kwamba huhitaji sex kila baada ya siku tano) na wakati huohuo mwanamke ni mtu wa mzunguko wa siku kumi ( kwa maana kwamba huhitaji sex kila baada ya siku kumi), kuna kaukweli fulani katika hili.)
 
Oh, dear, kumbe unit unaijua bali unataka quantity tu!

1 Juma = 2 Asha
according to you + maelezo ya mleta mada:

unasap:
ni iv....
juma=maelezo ya mtoa mada-ASHA+UIMARA WA FORCE TIMES PRESSURE THEN UKIPATA MASS GAWANYA KWA VELOCITY MINUS GRAVITY.......NEWTON was ma 1st bofrend kabla ajawa shoga:A S-baby:
 
ivi SI unit ya sex ni ip?
kuna kipimo mahusus cha sex?ili tujue i 264/60 its normal ...i 56/9 isnt normal...mwenzenu kilaza naomba mnisaidie...lakin ndg mwenyekit i do agree awa akina JUMA WANAPENDA SANA MCHEZOMBAYA KUSHINDA AKINA ASHA....heri yangu mi nonsex...wanaitwaje vile...non gender...ehh jaman non she o he? ..yes ivo ivo....:phone:
Danganya toto!
 
unasap:
ni iv....
juma=maelezo ya mtoa mada-ASHA+UIMARA WA FORCE TIMES PRESSURE THEN UKIPATA MASS GAWANYA KWA VELOCITY MINUS GRAVITY.......NEWTON was ma 1st bofrend kabla ajawa shoga:A S-baby:

Duuh, kumbe nawe mkongwe! Wa tangu enzi za akina Newton!! :caked:
 
ahh saaaaaaaaana ne

newton was ma 1st bfrend
the 2nd was napoleon
3rd was marchiavell..makavel yule wa ita
4th was husein kodjo
5th was christopher columbus
6 th was martin luther yule junior na malcom x alikuwa ndo mshenga

7th was roosevelt sema nilimktaa
8 was hitler ahh nikaamua kumpenda mao sant ago nilipooona hitler anagombana sana na mussolin

boby nilimpenda bt akantolea nje..ahh kwanza skupenda kula majan jamaica so nkamwambia nenda nkarendana na RODNEY..YULE MWANAPINDUZI WA JAMAICA B4 ya kumpiga kibut nkurumah

now nimetulia na mandela sna wasi wasi....mara moja moja twaenda msumbij kuimba viva frelimo kwa raha zetu...ehh sema nimemmis wifi mama theressa jaman mweeeee:israel:l
che guavara alinipa mimba akantosa ...:A S-baby:
 
Wanaume kwa kutaka kuhalalisha infedlity............hawajambo.
Ndio na mimi nilitaka kusema. Kweli wanataka every 5 days, hatubishi ila wasipo pata watulie tu. Na sisi tukisema tukaangalie nje every ten days je? Nadhani ni swala lakuelewana ila isiwe ni threat kwamba msipopata mtalipa for sex!:der:
 
......lol...just few to mention!!!!!!!!!!
 
hebu jaribu uone mziki wake upoje?
siku zote wa mbili havai moja mpendwa.
 
......lol...just few to mention!!!!!!!!!!

utasutwa mwanaume nyooooooooooooooooo mwone vile...few tumention unaijua wewe?
ndo amana unaungua kwenye folen wakat mwenzio chaliiiiiiiiiiiiii mukitanda nafanya kuchat tu na kibatar cz no umeme!!!!!
 
Back
Top Bottom