Nxt Millionaire
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 406
- 89
Pdidy, nakubaliana nawe katika hili, ila nina angalizo moja kwa wanaume, hasa wa mijini, japokuwa twaweza kuwa tulikuwa na hamu mara mbili ya kina mama hivi sasa nadhani kina mama ndio wako juu, inaweza kuwa yawachukua muda kufikia tamanio la mapenzi lakini tatizo ni kuwa wanafikia mzunguko huo sisi tukiwa bado hatujatamani, mimi yalinikuta haya.
Kabla ya kuoa nilikuwa na kiwango kikubwa sana cha kutamani kufanya mapenzi, si kwa wiki bali kwa siku, ilikuwa hata kama twafungiwa siku nzima na mdada mi ni mwendo mdundo, nikafikili nitampa shida sana mke wangu, baada ya kuoa iliendelea hivyo kama mwaka hivi, waifu akazoea, tatizo lilianza kwenye mwaka wa pili taratibu spidi inapungua mpaka ikafikia kumwona waifu ka mkaka vile, it was terrible, ye alidhani natoka nje ya ndoa wakti si kweli, ilibidi nijitafiti na kutafuta shauri mbalimbali, baadaye ilikuja gundulika kuwa sina tatizo bali nimeadhirika na kitu kinaitwa MARADHI YA MTINDO WA MAISHA, (LIFESTYLE DISEASES)
Lifestyle diseases yanasababisha matatizo mengi kwetu wakaazi wa mijini kuliko mashambani, moja wapo ni kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa na mwenzi wako, nilipogundua kuwa tatizo ni hili niliamua kutafuta ufumbuzi, nashukuru mungu kwani hivi sasa imerejea kama enzi zile, naweza kwenda sambamba ata kama ni kila siku pasi na shaka.
So kina baba tuangalie tusije adhiriwa na Mtindo wa Maisha ili tufurahie ndoa zetu, ikiwa kuna anayehisi kuwa na tatizo hilo anaweza kuni-PM.