Mwanamke aliyetoa mimba!

Wapendwa napenda tu kujua mwanamke akitoa mimba au mimba kutoka yenyewe twajua kuna muda kizazi cha kuwa wazi na akisex tu bila kinga anapata tena mimba je hali hiyo inadumu kwa muda gani? (baada ya muda gani anaruhusiwa nyama kwa nyama na asipate mimba?).

hayo maswali yanajibiwa na yule aliye mtoa hiyo mimba. nyie mnapenda nyama kwa nyama na huku mkiua wengine , angalia sana!!!!!!!!!
 
mimba imetoka

Umeshasema aliteleza ndo akapata mimba, sasa hivi anatafuta njia ya kumfanya asipate tena mimba eti hayuko tayari!! Mkuu kwa haya maelezo yako inaonyesha wazi kabisa hata hiyo mimba hakuitaka(akaabort) na sisiti kusema mmeua kwa makusudi na hapa unajaribu kusingizia tu eti imetoka!!! Unatuzeveza eeh?
 
avatar59140_1.gif
avatar18566_5.gif

Hii ndio kiduku??

Naona watoto mnashangaana; Avatar zenu zinaniacha hoi
 
Mtoa mada kweli anatuzeveza; lol. Hii lugha ya zamani kweli Kipipi; umeiibua wapi?

Umeshasema aliteleza ndo akapata mimba, sasa hivi anatafuta njia ya kumfanya asipate tena mimba eti hayuko tayari!! Mkuu kwa haya maelezo yako inaonyesha wazi kabisa hata hiyo mimba hakuitaka(akaabort) na sisiti kusema mmeua kwa makusudi na hapa unajaribu kusingizia tu eti imetoka!!! Unatuzeveza eeh?
 
Asante sana MJ! Huu ujumbe wako umenifanya nitafakari labda tungekuwa tunawaita hivyo pengine wangeogopa!!

yap mpendwa,

inabidi tuanze kuwaita hivyo hawa wauaji wakubwa!! al-shabab wa vichanga hawa

ila wajue kwa yakini kuwa Mungu yupo na siku moja hatimaye yeye mwenyewe atasimama juu ya nchi! (Ayubu 19:25-27)

mbarikiwer sana wapendwa

Glory to God!!

lakini mimi najua ya kuwa mteteaji wangu Yu hai
na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi,
na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivi,
lakini pasipokuwa na mwili wangu, nitamuona Mungu
nami nitamuona, mimi nafsi yangu
na macho yangu yatamtazama, wala si mwingine,
mtima wangu unazimia ndani yangu!!
 
Umeshasema aliteleza ndo akapata mimba, sasa hivi anatafuta njia ya kumfanya asipate tena mimba eti hayuko tayari!! Mkuu kwa haya maelezo yako inaonyesha wazi kabisa hata hiyo mimba hakuitaka(akaabort) na sisiti kusema mmeua kwa makusudi na hapa unajaribu kusingizia tu eti imetoka!!! Unatuzeveza eeh?

sawasawa kabisa mpendwa,

hawa hawana tofauti na al-shabab!!

siku ile watasema; Bwana, ni lini tulifanya mauaji ya watu wasio na hatia? masikini kume hawajui roho za hao watoto wanaowaua zitasismama kama ushuhuda dhidi yao siku ile kuu na inayoogofya!!

Karibu kwangu ee Bwana na ukae nami siku zote nisije kukutenda dhambi!!

Glory to God!!

mwenye kutenda mema na azidi kutenda mema
na mwenye haki na azidi kutakaswa!!
 
Kuna mtu inaomba ushauri ni mwanadada aliteleza kidogo knye kalenda yake na hatak kupata ujauzito tena kwa sasa!

Kwa hiyo ww ulijiita Dr Kwa kutegemea ushauri wa JF ili na ww ukawashauri wengine ama? Maana swali lako halifanani na hadhi ya u dokta wa ukweli.
 
yap mpendwa,

inabidi tuanze kuwaita hivyo hawa wauaji wakubwa!! al-shabab wa vichanga hawa

ila wajue kwa yakini kuwa Mungu yupo na siku moja hatimaye yeye mwenyewe atasimama juu ya nchi! (Ayubu 19:25-27)

mbarikiwer sana wapendwa

Glory to God!!

lakini mimi najua ya kuwa mteteaji wangu Yu hai
na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi,
na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivi,
lakini pasipokuwa na mwili wangu, nitamuona saafi sana
 
Wapendwa napenda tu kujua mwanamke akitoa mimba au mimba kutoka yenyewe twajua kuna muda kizazi cha kuwa wazi na akisex tu bila kinga anapata tena mimba je hali hiyo inadumu kwa muda gani? (baada ya muda gani anaruhusiwa nyama kwa nyama na asipate mimba?).
Mtu unajiita Dr. wa ukweli halafu unaulizwa swali ambalo ni so basic!!!!!!! Jf bwana ina vituko.
 
Huu ni mtambo wa kurekebisha tabia, abortion sio suala zuri ndo maana wanakuchallenge kwanza! Kacholopoa katoto alafu anakuuliza njia nyingine ili aendelee kunjunji hovyo hovyo sio?? Alafu umeingizwa chaka na mwenzako eti jf hawajibu maswali ya kitaalamu na we kweli umekubali, pole!! Umetembelea kule jukwaa la doctors? Itumie jf effectively wewe, usizembee!!!!!!

hahahahahahahahahaha umenichekesha sana hapo kwenye bold!
 
Back
Top Bottom